iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Jordan, Mustafa al-Mashni ameaga dunia baada ya kuugua corona au COVID-19.
Habari ID: 3473380    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/21

TEHRAN (IQNA) – Duru ya 14 ya Mashindano ya Qur’ani ya Dubai nchini Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) inaendelea katika mji huo.
Habari ID: 3473377    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/20

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya Sheikh Abdul-Basit akisoma aya ndefu zaidi katika Qur’ani Tukufu imeenea katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3473365    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16

TEHRAN (IQNA) – Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amenukulu aya za Qur’ani Tukufu katika Surah An-Naziat katika kufafanua kushindwa Donald Trump katika uchaguzi wa rais Marekani mwaka huu.
Habari ID: 3473342    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/08

TEHRAN (IQNA) - Mahmoud Shahat Anwar, qarii maarufu wa Misri amehudhuria sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW maarufu kama Maulidi ambapo na kusoma aya za Qur'ani.
Habari ID: 3473337    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07

TEHRAN (IQNA)- Qarii na hafidh maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Sudan, Sheikh Noreen Muhammad Sidiq amefariki katika ajali barabarani.
Habari ID: 3473336    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/07

TEHRAN (IQNA)- Kwa mujibu wa taarifa, Putin ameyasema hayo alipohutubu kwa njia ya video katika mjumuiko wa Siku ya Kitaifa ya Russia.
Habari ID: 3473334    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06

TEHRAN (IQNA) – Kwa mnasaba wa maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Milad-un-Nabii na wiki ya Umoja wa Waislamu, qarii maarufu wa Iran Mehdi Gholamnejad amesema aya ya 29 ya Surah al Fath akiwa na mtoto wake.
Habari ID: 3473332    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/05

TEHRAN (IQNA)- Watu saba wameuawa wakiwa katika darsa ya Qur’ani Tukufu katika hujuma iliyotekelezwa mjini Peshawar, kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Habari ID: 3473301    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/27

TEHRAN (IQNA)- Vijana kadhaa wa Sweden wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamefanya kitendo cha kishenzi cha kuivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuchukua msahafu na kuuchoma moto mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.
Habari ID: 3473293    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25

TEHRAN (IQNA) – Klipu nadra ya video imesambaa katika mitandao ya kijamii ikimuonyesha qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisema aya za Surah Fussilat.
Habari ID: 3473274    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/19

TEHRAN (IQNA) - Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu Sheikh Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma Qur'ani katika hafla ya kidini nchini humo.
Habari ID: 3473256    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/13

TEHRAN (IQNA) – Klipu ya Waziri Mkuu wa Malaysia Muhyiddin Yassin akisoma Qur’ani Tukufu imeenea katika mitandao ya kijamii hivi karibuni
Habari ID: 3473242    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/08

TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmoud Shahat Anwar hivi karibuni alisoma aya za Qur'ani akiwa safarini katika jimbo la Dakahlia.
Habari ID: 3473221    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/01

TEHRAN (IQNA)- Klipu iliyopo hapa chini ni ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad akisoma Surah Al Qadr ya Qur'ani Tukufu mwaka 1965 katika Msikiti Imam Hussein (AS) mjini Cairo.
Habari ID: 3473212    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNA) – Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Abdul Fattah Taruti ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza Kuu la Kimataifa la Kuhifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3473208    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27

TEHRAN (IQNA) – Harakati za Qur’ani nchini Misri zimeanza leo Jumamosi kufuatia idhini ya Chuo Kikuu cha Al Azhar.
Habari ID: 3473205    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/26

TEHRAN (IQNA) – Hivi karibuni kumesambazwa qiraa yenye mvuto ya Qur'ani Tukufu ya qarii maarufu wa Misri Sheikh Mahmod Shahat Muhammad Anwar.
Habari ID: 3473184    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/19

TEHRAN (IQNA) – Waalimu watano wa Qur'ani wameuawa baada ya kufyatuliwa risasi na magadi katika kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3473182    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18

TEHRAN (IQNA) – Mafundisho ya Qur’ani kwa njia ya intaneti yameandaliwa na Kituo cha Darul Qur’an nchini Lebanon. Kituo hicho kinafungamana na Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3473169    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/14