iqna

IQNA

vitongoji
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Utawala ghasibu wa Israel unaripotiwa kupanga kujenga nyumba 18,000 zaidi vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala huo huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476462    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amesisitiza uharamu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni wa Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina na kubainisha kuwa hatua hiyo ni kikwazo kikubwa cha amani.
Habari ID: 3475685    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/26

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel wamemuua Mpalestina aliyekuwa katika maandamani ya amani ya kupinda ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474342    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewahujumu Wapalestina waliokuwa wakiandamana kwa amani dhidi ya ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Nablus ulio katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474065    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe hatua zake zilizoratibiwa na kubomoa nyumba za Wapalestina.
Habari ID: 3473686    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/26

TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameandaman katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupinga hatua ya utawala haramu wa Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473585    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeongeza maradufu kasi ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi ulizowapora Wapalestina hatua ambayo itaibua msuguano na serikali mpya ijayo ya Marekani.
Habari ID: 3473545    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/11

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutokana na uungaji mkono wake kwa ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473364    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/16

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel imeupa utawala huo kiburi na ujuba wa kuendelea kupora ardhi za Wapalestina na kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kinyume cha sheria.
Habari ID: 3473268    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/17

TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza orodha ya mashirika ambayo yanashirikiana na utawala wa Israel katika kujenga vitongoji haramu katika ardhi za Palestina huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472468    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/13

TEHRAN (IQNA) Brazil imeulaani utawala wa Israel kwa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.
Habari ID: 3470919    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/05

IQNA- Ijumaa katika usiku wenye baridi kali mjini New York, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha azimio nambari 2334 linaloitaka Israel isitishe mara moja ujenzi huo katika ardhi zilizoghusubiwa za Palestina.
Habari ID: 3470758    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/24

IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06