IQNA

8:48 - May 14, 2020
1
News ID: 3472766
TEHRAN (IQNA) – Ustadh Ala Hassani, mjukuuu wa qarii au msomaji mashuhuri wa Qur'ani wa Misri Sheikh Mustafa Ismail amesembaza klipu ya qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.

Katika klipu hiyo ambayo ameisambaza kupitia mtandano wa Youm7, Ustadh Ala anasoma aya za 107-1110 za Sura al-Kahf.

Sheikh Mustafa Ismail aliyezaliwa Juni 17,1905 na kuaga dunia Disemba 26, 1978 alikuwa miongoni mwa wasomaji mashuhuri zaidi wa Qur'ani Tukufu nchini Misri.

Alikuwa na mtindo maalumu wa qiraa na aliweza kuwavutia wengi kutokana na usomaji wake. Qarii mashuhuri wa Misri katika zama hizi Sheikh Ahmed Ahmed Noaina amesema, "Mustafa Ismail alikuwa na mbinu kadhaa za qiraa na hadi sasa hakuna mtu aliyweza kuja na mbinu mpya baada yake.

3898647/

Published: 1
Under Review: 0
non-publishable: 0
El Maghriby
0
0
Mashallah, qiraa nzuri sana. Tunaomba klipu zaidi kama hizi katika website yenu
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: