iqna

IQNA

bjp
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Polisi katika mji wa Mumbai nchini India imetoa idhini kwa misikitini 803 kutumia vipaza sauti kwa ajili ya adhana.
Habari ID: 3475208    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05

TEHRAN (IQNA)- Siku kadhaa baada ya shule za jimbo la Karanatka la kusini mwa India kuwapiga marufuku wanafunzi wanawake Waislamu kuvaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu, mahakama ya nchi hiyo imeidhinisha rasmi uamuzi huo wa kibaguzi.
Habari ID: 3475046    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Pakistan imeitaka jamii ya kimataifa, hususan Umoja wa Mataifa na mashirika husika ya kimataifa ya haki za binadamu, kuiwajibisha India kutokana na kukithiri ukiukaji wake wa haki za binadamu dhidi ya walio wachache, hasa Waislamu.
Habari ID: 3474971    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24

TEHRAN (IQNA)- Wataalamu wa haki za Umoja wa Mataifa wametaka kukomeshwa kwa mashambulizi ya mtandaoni "ya kuchukiza dhidi ya wanawake na ya kimadhehebu" dhidi ya mwanahabari Muislamu nchini India, wakiomba mamlaka kuchunguza unyanyasaji huo.
Habari ID: 3474966    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

TEHRAN (IQNA)- Wabunge kadhaa nchini Kuwait wametaka wanachama wa chama tawala India, Bharatiya Janata (BJP) wapigwe marufuku kuingia nchini humo kutokana na kuhusika kwao na ukandamizaji wa Waislamu nchini India.
Habari ID: 3474955    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/21

TEHRAN (IQNA)- Video zinazowaonyesha viongozi wa kidini wa Kihindu nchini India wakitoa wito wa mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu zimezua hasira na wito madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya wahusika.
Habari ID: 3474719    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25

TEHRAN (IQNA)- Wahindi wenye misimamo mikali katika jimbo la Assam nchini India wameshadidisha hujuma dhidi ya Waislamu eneo hilo.
Habari ID: 3474389    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA) – India inatambuliwa kama nchi ya kidemokrasia yenye muujiza wa kisasa kutokana na kuwa na idadi kubwa ya watu wa kaumu, kabila na dini mbali mbali wamekuwa wakiishi pamoja
Habari ID: 3472524    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/02

TEHRAN (IQNA) – Mbunge katika chama tawala chenye misimamo mikali ya Kihindu cha Bharatiya Janata (BJP) nchini India ametishia kuwa, misikiti iliyojengwa katika 'ardhi ya serikali' katika mji wa New Delhi itabomolewa.
Habari ID: 3472386    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/19

TEHRAN (IQNA)-Jengo la Taj Mahal nchini India, moja kati ya Maajabu Saba ya Dunia, na ambalo huwavutia watalii wasiopungua milioni sita kwa mwaka limeondolewa katika orodha ya vivutio vya kitalii kwa sababu ni turathi ya Kiislamu.
Habari ID: 3471210    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/10