bjp

IQNA

IQNA – Mamlaka katika mji mkuu wa jimbo la Arunachal Pradesh nchini India zimezifunga misikiti yote 15 iliyoko katika mji huo mkuu, hatua iliyozua ukosoaji na malalamiko kutoka kwa makundi ya Kiislamu.
Habari ID: 3482355   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/13

IQNA – Kuanzia unyanyasaji wa mtandaoni hadi mashambulizi ya umati na sera za kibaguzi, mwaka 2025 uliweka bayana hali ya kutisha kwa Waislamu walio wachache nchini India.
Habari ID: 3481726   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28

IQNA – Waandamanaji wamepambana na vikosi vya usalama vya India katika jimbo lenye Waislamu wengi la Ladakh siku ya Jumatano, na ripoti zikisema angalau waandamanaji wanne wameuawa.
Habari ID: 3481283   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/26

IQNA-Ripoti mpya ya Taasisiya India Hate Lab (IHL) imebaini ongezeko kubwa la matukio ya hotuba na kauli za chuki katika maeneo mbalimbali nchini India kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea Pahalgam, Jammu na Kashmir, mnamo Aprili 21.
Habari ID: 3480633   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04

Waislamu India
IQNA - Matokeo ya uchaguzi mkuu wa India yanaonyesha kuwa muungano wa Waziri Mkuu Narendra Modi umepata viti vichache sana kuliko ilivyotarajiwa.
Habari ID: 3478944   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07

Waislamu India
IQNA - Pakistan imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kulinda misikiti na maeneo ya turathi ya Kiislamu nchini India, kufuatia kuharibiwa kwa msikiti wa kihistoria wa Akhunji mjini New Delhi wiki iliyopita.
Habari ID: 3478329   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Waislamu India
IQNA - Takriban watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa wakati wa maandamano yaliyotokana na ubomoaji wa msikiti na shule wa Kiislamu nchini India, ikiwa ni tukio la hivi punde zaidi katika msururu wa ubomoaji unaolenga majengo ya Waislamu.
Habari ID: 3478323   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Waislamu India
IQNA - Msikiti wa Gyanvapi huko Varanasi, ni eneo la kihistoria iliyojengwa katika karne ya 17, umekuwa kitovu cha hivi punde katika mzozo wa muda mrefu wa kisheria kati ya Wahindu na Waislamu nchini India.
Habari ID: 3478291   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Waislamu India
IQNA-Kama ilivyokuwa ikitarajiwa, baada ya kuzinduliwa hekalu la Ram, ambalo lilijengwa na Wahindu wenye itikadi kali katika sehemu ambayo zamani palikuwa na msikiti wa Babri katika jimbo la Uttar Pradesh, duru mpya ya mashinikizo ya kijamii dhidi ya Waislamu wa India imeanza.
Habari ID: 3478256   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26

Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Wahindu wenye msimamo mkali walimpiga na kumuuai Mwislamu mlemavu kwa kula prasad kwenye hekalu.
Habari ID: 3477669   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Zaidi ya mikusanyiko 250 dhidi ya Waislamu ilifanyika katika majimbo 17 ya India katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2023, kulingana na ripoti ambayo inaangazia mwelekeo unaoongezeka wa chuki dhidi ya Uislamu nchini India tangu 2014.
Habari ID: 3477656   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26

Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Chuki dhidi ya Uislamu nchini India imeenea zaidi kuliko hapo awali, alisema waziri mkuu wa zamani na makamu wa rais wa Mkutano wa Kitaifa, Omar Abdullah.
Habari ID: 3477646   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/24

Hali ya Waislamu India
New Delhi (IQNA) - Misikiti mingi katika kitovu muhimu cha biashara nje kidogo ya mji mkuu wa India, New Delhi ilifungwa kwa sala ya Ijumaa baada ya kifo cha watu sita wakati Wahindu wenye itikadi kali waliposhambulia misikiti na mali za Waislamu.
Habari ID: 3477390   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa mamlaka nchini India zinazidi kuwakandamiza na kuwaadhibi Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3475891   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/07

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- India imeipiga marufuku harakati mashuhuri ya Kiislamu nchini humo ya PFI, ikiwa ni muendelezo wa serikali ya New Delhi ya kufuata sera ya kukanyaga na kupuuza haki za Waislamu walio wachache katika nchi hiyo.
Habari ID: 3475852   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29

Msomi wa Kuwait
TEHRAN (IQNA) – Msomi wa chuo kikuu nchini Kuwait alisema vikwazo vya kiuchumi ni mojawapo ya nguvu kuu za Waislamu katika kukabiliana na serikali zinazounga mkono chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3475455   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/03

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Taasisi ya haki za binadamu ya Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vitendo vya kibaguzi dhidi ya Waislamu nchini India.
Habari ID: 3475404   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/21

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Waislamu duniani.
Habari ID: 3475381   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/16

Chuki dhidi ya Uislamu India
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya watu waliandamana katika mji mkuu wa Bangladesh wa Dhaka siku ya Ijumaa kulaani matamshi ya hivi majuzi ya matusi ya maafisa wa chama tawala India kuhusu Mtukufu Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3475363   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/11

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Kinara wa vijana wa chama tawala cha utaifa wa Kihindu cha Bharatiya Janata (BJP) nchini India amekamatwa kutokana na matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu Waislamu kwenye mitandao ya kijamii, polisi walisema Jumatano.
Habari ID: 3475350   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08