iqna

IQNA

IQNA - Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria msafaraa mazishi ya Shahidi Ismail Haniya mjini Tehran tarehe 1 Agosti 2024.
Habari ID: 3479213    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA-Shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3479212    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA- Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, katika kipindi cha miaka yote hii, wakuu wa Kambi ya Muqawama wamethibitisha kwamba, jinai zinazofanywa na maadui haziwatetereshi hata kidogo, bali zinaongeza tu ari na moyo wao wa Jihadi na Muqawama.
Habari ID: 3479211    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, katika kambi ya muqawama, wakuu na makamanda wa kambi hiyo hawajifichi bali wako katikati ya medani ya mapambano na wanakufa shahidi kwenye medani hiyo.
Habari ID: 3479210    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Taazia
IQNA-Mapema leo Alkhamisi asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesalisha umati mkubwa wa Waislamu waliojitokeza katika Sala ya Maiti ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Ismail Haniya na mlinzi wake. Sala hiyo ya Maiti imesaliwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran.
Habari ID: 3479209    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/01

Kadhia ya Palestina
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza kuwa, Iran itawafanya magaidi maghasibu kujutia kitendo chao cha uoga cha kumuua kiongozi wa Hamas Ismail Haniya.
Habari ID: 3479208    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu baada ya kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Tawi la Kisiasa la HAMAS akisisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umejiandalia uwanja wa kuadhibiwa vikali.
Habari ID: 3479207    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

Taarifa
IQNA-Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na kueleza kwamba, hapana shaka kuwa, damu ya mujahidi huyo haitapotea bure.
Habari ID: 3479206    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

IQNA- Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuwa mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyah na mmoja wa walinzi wake wameuawa shahidi baada ya kushambuliwa makazi yao mjini Tehran.
Habari ID: 3479205    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza ushujaa wa wananchi wanaodhulumiwa na wenye nguvu wa Ghaza na kusema: Leo bendera ya juu kabisa ya Uislamu iko mikononi mwa watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479202    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/30

Jinai za Israel
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji yaliyofanywa na jeshi la utawala katili wa Israel dhidi ya wanafamilia wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478673    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/12

Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina, Hamas, amethibitisha habari ya kuuawa shahidi watoto na wajukuu zake katika shambulio la kinyama la utawala wa Kizayuni na akasema: "kwa machungu haya na kwa damu hii tunajenga matumaini, mustakbali na uhuru wa watu wetu, piganio letu na taifa letu".
Habari ID: 3478669    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/11

Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, Muqawama (mapambano ya Kiislamu) usio na kifani wa vikosi vya Muqawama na watu wa Ghaza umeutukuza Uislamu.
Habari ID: 3478588    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/27

Mapambano ya Wapalestina
IQNA - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya amesisitiza uthabiti na azma la harakati hiyo katika kuendeleza mapambano ya kupigania ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3478066    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/20

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na ujumbe alioandamana nao wamekutana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei.
Habari ID: 3477847    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/06

Ukombozi wa Quds
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kuuokoa Msikiti wa Al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3476360    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/05

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Wapalestina katu hawatouruhusu utawala haramu wa Israel utekeleza njama na mipango yake michafu dhidi ya mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) na Msikiti Mtakatifu wa Al Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3476241    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/13

Ukombozi wa Palestina
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisisitiza kuhusu utambulisho wa Kiislamu wa Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) na kuongeza kuwa, wanaosaliti Palestina kwa kuanzisha uhusiano na utawala bandia wa Israel wafahamu kuwa ukombozi wa Msikiti wa Al Aqsa unakaribia.
Habari ID: 3475427    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/26

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
Habari ID: 3474932    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/15

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amekutana na Ismail Haniyeh kiongozi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, mjini Doha, Qatar.
Habari ID: 3474798    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12