Wairani washiriki maandamano ya kuunga mkono Operesheni ya Ahadi ya Kweli 4
IQNA – Katika siku za karibuni, Wairani katika miji mbalimbali, ikiwemo Ahvaz kusini-magharibi mwa nchi, wamefanya mikutano ya hadhara kulaani uchokozi wa Marekani na Israel, na kuelezea uungaji mkono wao kwa operesheni ya kijeshi ya kulipiza kisasi ya Iran, inayojulikana kama Operesheni ya Ahadi ya Kweli 4.