IQNA – Janga la kuuawa shahidi kwa wanafunzi 165 katika shambulio la kigaidi la Marekani na Israel, mnamo Feruari 28 2026, dhidi ya shule ya wasichana katika mji wa Minab, kusini mwa Iran, ni hasara kubwa ambayo taifa la Iran halitasahau kamwe.