IQNA

18:09 - March 10, 2026
Habari ID: 3482038

Wairani waapa utii kwa Kiongozi Mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu

IQNA – Maandamano makubwa ya wananchi yalifanyika kote nchini Iran, yakiwemo katika mji mkuu Tehran, Jumatatu tarehe 9 Machi 2026, ambapo wananchi walitangaza utii na uungaji mkono wao kwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei. Hizi hapa baadhi ya picha za maandamano hayo.

Habari zinazohusiana
Kishikizo: imam khamenei shahidi
captcha