iqna

IQNA

teknolojia
IQNA – Msikiti wa kwanza duniani kujengwa kwa kutumia teknolojia ya uchapishaji ya 3D ulizinduliwa mjini Jeddah mapema mwezi Machi.
Habari ID: 3478484    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10

Teknolojia
IQNA - Kongamano la teknolojia ya Qur'ani Tukufu limepangwa kufunguliwa katika mji mkuu wa Saudia wa Riyadh wikendi hii. Itahudhuriwa na kundi la wataalam, wasomi na weledi wa teknolojia .
Habari ID: 3478316    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Wanawake katika Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Taasisi ya Mustafa(SAW) ya Sayansi na Teknolojia hivi karibuni iliandaa jopo la kisayansi kwa ushirikiano na Jukwaa la Kimataifa la Wanawake katika Sayansi ili kujadili mustakabali endelevu unaojumuisha jinsia kupitia sayansi, teknolojia na uvumbuzi.
Habari ID: 3475793    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/16

Uislamu na teknolojia
TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la masuala ya uchumi wa Kiislamu limetangaza kuzindua Metaverse ya kwanza ya Kiislamu ambayo inaenda sambamba na mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3475282    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/22

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Akademia ya Elimu, Utamaduni na Utafiti Iran (ACECR) amesema academia hiyo inapaswa kuongoza duniani katika ustawi wa sayansi na teknolojia .
Habari ID: 3473037    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05

TEHRAN (IQNA)- Shirika moja la ki teknolojia nchini Malaysia limefanikiwa kutegeneza browser ya kwanza duniani ambayo inaenda kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu kwa lengo la kuwahudumia Waislamu bilioni 1.8 duniani ili waweze kuwa na mazingira halali na salama katika intaneti.
Habari ID: 3471996    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema mafanikio makubwa yaliyopatikana katika teknolojia ya Nano na Bio teknolojia ni mfano na kipimo cha maendeleo katika sekta mbalimbali nchini
Habari ID: 2792669    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/01

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema shughuli za ustawi na utafiti wa nyuklia Iran kamwe hazitasimamishwa.
Habari ID: 1392769    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/04/10