IQNA-Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa taifa la Iran halitauamini utawala wowote unaoingia madarakani huko Marekani.
Habari ID: 3470670 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12
Kwa mwaka wa pili mfululizo
Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Vyombo vya Habari Iran yamefungwa huku kibanda cha IQNA kikitangazwa kuwa kibanda bora zaidi katika masuala ya kidini.
Habari ID: 3470669 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11
IQNA-Gazeti moja la Misri limemtaja Binti Muirani mwenye umri wa miaka tisa kuwa ‘kompyuta’ kutokana na ustadi wake katika kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470668 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11
UNICEF
IQNA-Shirika la Umoja la Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF limebaini wasi wasiwake kuhusu jinai za kutisha dhidi ya watoto zinazotekelezwa na jeshi la Myanmar katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3470667 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11
IQNA-Kumeshuhudiwa wimbi la hujuma dhidi ya Waislamu kote Marekani baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais siku ya Jumanne.
Habari ID: 3470666 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11
IQNA-Binti Muirani mwenye umri wa miaka tisa amejibu vizuri maswali ya jopo la majaji katika mashindano ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani ya wanawake.
Habari ID: 3470665 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/10
IQNA-Gazeti moja mashuhuri nchini Brunei limefungwa baada ya kuandika kuwa matatizo ya kiuchumi Saudi Arabia yameipelekea iongeze kwa kiasi kikubwa bei ya Visa ya Hija.
Habari ID: 3470664 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/09
Spika wa Bunge la Iran
IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa daima Syria imekuwa katika mstari wa mbele wa muqawama na mapambano dhidi ya ugaidi na Uzayuni.
Habari ID: 3470663 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/08
Mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi kwa ajili ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Cairo yameanza.
Habari ID: 3470662 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/08
IQNA-Nchini Japan kumeshuhudiwa ongezeko la vyumba maalumu kwa ajili ya Waislamu kusimamisha sala katika maeneo ya umma.
Habari ID: 3470661 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07
IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Iran amelaani hujuma za kigaidi iliyopelekea watu wasiopungua 24 kuuawa katika miji ya Samarra na Tikrit nchini Iraq siku ya Jumapili.
Habari ID: 3470660 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana ya Sala ya Alfajiri katika misikiti mitatu iliyo katika mji wa Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470658 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06
IQNA-Saudi Arabia inaendeleza vita vya siri dhidi yay a Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na, Ushia na Waislamu wa madhehebu ya Shia kupitia akaunti bandia za mitandao ya kijamii, imefichuliwa.
Habari ID: 3470656 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06
IQNA-Rais Hassan Rouhani Jumamosi ametembelea Maonyesho ya 22 ya Vyombo vya Habari hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3470655 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
IQNA-Wabahrain wanaendelea kuandamana mbele ya nyumba ya mwanazuoni mashuhuri wa nchi hiyo Ayatullah Sheikh Isa Qassim kwa lengo la kumuunga mkono mwanazuoni huyo anayedhulumiwa.
Habari ID: 3470654 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
IQNA-Kenya itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kwanza ya kimatiafa ya bidhaa na huduma halali eneo la bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Habari ID: 3470653 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia amefutwa kazi, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahhabi ambayo inatawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
Habari ID: 3470652 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05
IQNA-Watu wanne wamejeruhiwa baada ya polisi nchini Nigeria kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana Ijumaa ya leo katika mji mkuu Abuja.
Habari ID: 3470651 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04
IQNA-Binti Muirani mwenye umri wa miaka 9, Hannaneh Khalfi yuko katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE (Imarati) kushiriki mashindano ya Qur’ani ya wanawake.
Habari ID: 3470650 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04
Kwa munasaba wa kutekwa Pango la Ujasusi (Ubalozi wa Marekani)
IQNA-Wananchi wa matabaka mbali mbali Iran kuonyesha dhidi ya madola ya Kiistikbari hasa Marekani huku wakitoa nara za 'Mauti kwa Marekani'.
Habari ID: 3470649 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/03