Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Ghana anatoa darsa za tafsiri ya Qur'ani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470378 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12
Ofisa mwenye cheo cha meja katika jeshi la Marekani amekamatwa baada kujaribu kuwaua msikitini na kuwazika hapo katika jimbo la Carolina Kaskazini.
Habari ID: 3470377 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11
Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wametekeleza hujuma ya bomu na kuua watu 20 karibu na Haram ya Bibi Zainab SA katika viungo vya mji mkuu wa Syria, Damscus.
Habari ID: 3470376 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote Iran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470375 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11
Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani yameanza leo Ijumaa katika mji wa Istanbul.
Habari ID: 3470374 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/10
Waziri wa Mashauri ya Kigeni Iraq, Ibrahim Jafari amesema magaidi wa ISIS (Daesh) wanatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu ili kuzuia jeshi la Iraq kuingia mji wa Fallujah.
Habari ID: 3470373 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/09
Wizara ya Elimu na Masuala ya Kidini Ugiriki imetangaza kuwa Waislamu mjini Athens watatengewa nafasi maalumu kwa ajili ya Sala ya Idul Fitr, ambayo husaliwa baada ya kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470370 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470369 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umaridadi na ujamali uliomo katika maneno ya Qur'ani Tukufu ni muujiza na ni mlango wa kuvutiwa na mafundisho aali na yenye maana pana ya aya hizo.
Habari ID: 3470368 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Habari ID: 3470367 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08
Rais wa Iran katika ujumbe wa Ramadhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa viongozi wa nchi za Kiislamu kushirikiana ili kukabiliana kukabiliana na wale misimamo mikali ya kidini.
Habari ID: 3470366 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07
Serikali ya Ghana imewajengea polisi nchini humo msikiti wao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na kujifunza Kiislamu.
Habari ID: 3470365 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07
Waislamu nchini Marekani katika jimbo la New Mexico wametangaza kuimarisha harakati za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3470364 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07
Magenge ya walowezi wa Kizayuni wakiwa chini ya humaya ya askari wa utawala haramu wa Israel Jumpili wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3470363 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06
Baadhi ya nchi za Kiarabu zimetangaza tarehe 6 Juni kuwa siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470361 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/06
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Marekani ndio muungaji mkono mkubwa zaidi wa magaidi wa kundi la ISIS au Daesh na makundi mengine ya kigaidi duniani.
Habari ID: 3470360 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05
Mashindano ya 16 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu miongoni mwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Bahraq yamepangwa kufanyika wiki chache zijazo.
Habari ID: 3470359 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05
Mwislamu mmoja mkazi wa mji wa New York Marekani ameanzisha kampeni ya kutuma Aya za Qur'ani Tukufu kwa njia ya mtandao wa kijamii wa Twitter katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470358 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05
Bingwa wa ndondi raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, Muhammad Ali ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 74.
Habari ID: 3470357 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Tunapaswa kutumia uzoefu wa mazungumzo ya nyuklia yaliyothibitisha kuwa Marekani haiwezi kuaminika na hivi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ichukue mkondo wake wa ustawi.
Habari ID: 3470356 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03