misri - Ukurasa 24

IQNA

Mufti Mkuu wa Misri Shawki Allam ameipunguza kuwa kifungo cha maisha jela hukumu ya adhabu ya kifo iliyotolewa na mahakama kwa Mohamed Badie, kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin.
Habari ID: 1445550    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/01

Mufti Mkuu wa Misri
Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa vitendo vinavyofanywa na kundi la Daesh vinapingana na thamani za kibinadamu na Kiislamu na kwamba kundi hilo ni genge la kigaidi ambalo haliwezi kutambuliwa kuwa ni dola la Kiislamu.
Habari ID: 1439297    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/14

Sheikhe mkuu wa Al Azhar Ahmad Tayyib amehutubu katika sherehe za ufunguzi katika sherehe za ufunguzi wa Kombe la Dunia Brazil baadaye hii leo
Habari ID: 1416916    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/06/12

Muungano wa Wasomaji Qurani Tukufu nchini Misri umemfutia uanachama wa muungano huo Sheikh Farajullah al Shadhilii mmoja kati ya wasomaji Qurani Tukufu mashuhuri nchini Misri kwa sababu tu ya kuadhini kwenye Msikiti wa Kishia nchini Iraq.
Habari ID: 1407016    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15

Magaidi wa Kitakfiri au Kiwahabbi ambao wanajifanya kuwa Waislamu sasa wanatekeleza jinai katika maeneo mbali mbali ya dunia kwa lengo la kuuharibia jina Uislamu. Hayo yamedokezwa na Shekhe Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri, Ahmad Tayyib.
Habari ID: 1407014    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/15