misri - Ukurasa 23

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Mufti Mkuu wa Misri Shawqi Ibrahim Abdel-Karim Allam amesema Imam Ali AS alitabiri kudhihiri kundi la kigaidi la ISIS zaidi ya miaka 1400 iliyopita.
Habari ID: 3470935   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/15

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13

TEHRAN (IQNA) Kundi la kigaidi la ISIS limetekeleza hujuma za mabomu dhidi ya makanisa mawili ya Kikhufti (Coptic) katika miji ya Tanta na Alexandria Misri na kuua Wakristo wasiopungua 47.
Habari ID: 3470926   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 23 la Ijaz (miujiza) katika Qur'ani Tukufu na Sunna ya Mtume SAW limefanyika wiki hii nchini Misri.
Habari ID: 3470923   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Awqaf Misri imesema nchi 40 zimetangaza kuwa tayari kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3470904   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/22

IQNA-Ashraf al-Taish qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri ameibuka miongoni mwa wasomaji bora wa Qur'ani katika nchi hiyo ambayo ni chimbuko la wasomaji bora zaidi wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3470826   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01

IQNA: Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Muhammad Sharafeddin aliyepata umaarufu kwa mbinu yake ya Ibtihal ameaga dunia.
Habari ID: 3470814   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26

IQNA-Duru ya tano ya mkutano wa kimataifa wa 'Upeo wa Miujiza ya Qur'ani Tukufu' umepengwa kufanyika mwezi Aprili nchini Misri.
Habari ID: 3470761   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26

IQNA-Qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Abdul Wahid Zaki Radhi ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 80.
Habari ID: 3470733   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/10

IQNA-Mwenyekiti wa Jumuiya ya Quraa (Wasomaji) wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amesisitiza umuhimu wa kuwafunza watoto Qur’ani wakiwa wangali wachanga.
Habari ID: 3470671   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12

IQNA-Serikali ya Misri imewapiga marufuku wahubiri wa Kiwahhabi kuhutubu hotuba katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3470643   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30

Mufti wa Misri
Mufti wa Misri amevitaka vyombo vya habari vya nchi za Magharibi viache kutumia neno "Dola la Kiislamu" kuliarifisha kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470602   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/07

Mkutano wa kimataifa wa Maimamu wa Misikiti katika nchi zenye Waislamu wachache umepangwa kufanyika, Cairo mji mkuu wa Misri.
Habari ID: 3470592   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/02

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri zimepata medali zao za kwanza za mashindano ya taekwondo ya wanawake katika michezo ya Olimpiki ya Rio, 2016.
Habari ID: 3470534   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/20

Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikh Ahmed el-Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar, Misri ametoa wito kwa maulmaa wa Shia na Sunni kutoa fatwa ambazo zitawazuia Waislamu wa madhehebu hizo kusitisha malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470474   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Jeshi la Misri limeushambulia kwa misingi msikiti mmoja katika Rasi ya Sinai, na kuharibu sehemu za msikiti huo.
Habari ID: 3470471   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Sheikh Mohammad Hashim Al Hakim, mwanachama wa Jumuiya ya Maulamaa wa Sudan ametahadharisha kuhusu kusambazwa nakala za Qur'ani nchini humo ambazo zina makosa ya chapa.
Habari ID: 3470450   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12

Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu Misri ameonya kuwa itikadi potovu ya Uwahhabi inaenea Misri na hivyo kuhatarisha Uislamu wa wastani nchini humo.
Habari ID: 3470240   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11

Awamu ya 23 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatafanyika hivi karibuni katika mji wa Sharm el Sheikh mkoa wa Sinai.
Habari ID: 3457049   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25

Warsha ya kielimu kuhusu ‘Miujiza ya Kisayansi katika Qur’ani’ imefanyikanchini Misri katika Chuo Kikuu cha Tanta mkoani Gharbia.
Habari ID: 3454189   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18