italia

IQNA

IQNA – Wawakilishi wa dini na madhehebu mbalimbali nchini Italia wameandaa hati ya kwanza ya kitaifa kwa ajili ya kuimarisha mazungumzo ya kati ya dini.
Habari ID: 3482416   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/29

IQNA – Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri amebainisha matumaini kuwa Italia itaungana na idadi inayoongezeka ya mataifa ambayo tayari yametambua rasmi taifa la Palestina.
Habari ID: 3481435   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/29

IQNA – Ujumbe wa ngazi ya juu wa vyombo vya habari kutoka Italia, uliotembelea taasisi kadhaa chini ya Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS), huko Karbala, Iraq umesifu huduma za kisasa zinazotolewa na idara hiyo katika nyanja mbalimbali, hasa afya na elimu.
Habari ID: 3480622   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02

IQNA – Chama kimoja cha misimamo mikali ya mrengo wa kulia nchini Italia, kinachoongozwa na Naibu Waziri Mkuu Matteo Salvini, kinahunguzwa rasmi baada ya wabunge wa upinzani kuwasilisha malalamiko kuwa chama hicho kimesambaza picha zinazozalishwa na Akili Bandia (AI) zinazokuza ubaguzi wa rangi na dhana za Chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia.
Habari ID: 3480561   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/19

IQNA – Profesa wa Italia amesifu Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kwa kuimarisha uhusiano kati ya Waislamu, akisisitiza jukumu lake katika kuimarisha mshikamano wa kimataifa na kuwezesha kubadilishana maarifa.
Habari ID: 3480363   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13

Qur'ani Tukufu
IQNA - Hamza Roberto Piccardo ndiye Mtaliano wa kwanza Mwislamu ambaye ameitarjumi Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiitaliano.
Habari ID: 3479700   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/04

Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) – Mtazamo hasi dhidi ya Waislamu milioni 3 na zaidi wanaoishi nchini Italia hautarajiwi kutoka kwa serikali ijayo ya mrengo wa kulia, jumuiya za Kiislamu nchini humo zilisema.
Habari ID: 3475847   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/27

Waislamu Italia
TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza huko Venice, Italia, ulizinduliwa katika hafla iliyohudhuriwa na wawakilishi wa jamii ya Kiislamu ya Italia na taasisi za jiji.
Habari ID: 3475369   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/12

TEHRAN (IQNA)- Eneo la kiviwanda la Turin, ambao ni kati ya miji mikubwa Italia, hivi karibuni litakua na fahari ya kupata kituo kikubwa cha utamaduni wa Kiislamu ambacho kitajumuisha pia msikiti.
Habari ID: 3474332   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23

TEHRAN (IQNA)- Italia imetangaza kusitisha uuzaji silaha zake kwa Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kutokana na jinai za kivita ambazo tawala hizo mbili zinafanya huko Yemen.
Habari ID: 3473603   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/30

TEHRAN (IQNA) – Misikiti nchini Italia itaendelea kufungwa wakati wa Sala ya Idul Fitri ikiwa ni katika muendelezo wa kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472765   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/14

TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali AS mjini Stockholm, Sweden kimeandaa mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3472762   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13

TEHRAN (IQNA)- Hofu imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Italia baada ya serikali yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia kuchukua madaraka nchini humo.
Habari ID: 3471692   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/26

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
Habari ID: 3470244   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/12

Serikali kuu ya Italia imekwenda kwenye mahakama ya Katiba kupinga sheria mpya iliyopitishwa na serikali ya ndani ya jimbo la Lombardy la kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 2983062   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/14

Kundi la watu wasiojulikana limeushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Rome mji mkuu wa Italia na kuteketeza nakala zote za Qur’ani Tukufu zilizokuwemo msikitini humo.
Habari ID: 1389037   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/19