IQNA – Mwanakaligrafia kutoka Bahrain amesema kuwa wazo lake la kuandika Qur'ani kwa mkono limeongeza idadi ya watu wanaovutiwa na sanaa ya kaligrafia ya Kiarabu.
Habari ID: 3480603 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27
IQNA – Sherehe ilifanyika katika Mkoa wa Muharraq, Bahrain siku ya Jumatatu kwa ajili ya kuwaenzi vijana wa Bahrain kwa shughuli zao za Qur’ani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480586 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/23
Qurani Tukufu
IQNA – Mwanazuoni wa ngazi za Kiislamu nchini Bahrain Ayatullah Sheikh Isa Qassim amelaani kuendelea kuharamishwa kwa kuswali Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Imam Sadiq (AS) huko Diraz katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3479764 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Qur'ani ya Bin Faqeeh yalianza Jumamosi katika Kituo cha Kiislamu cha Ahmed Al Fateh, na hivyo kuashiria hatua ya kwanza ya mashindano katika kitengo kipya cha Tafsiri ya Qur'ani kwa washiriki wa kiume.
Habari ID: 3479735 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/11
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Bahrain yalihitimishwa Jumatano usiku.
Habari ID: 3478732 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/25
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani kwa jina la "Qari Bora Duniani" itafanyika mwezi Aprili.
Habari ID: 3478422 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27
Watetezi wa Palestina
IQNA – Watu nchini Bahrain wameshiriki maandamano kueleza mshikamano wao na watu wa Palestina na wapiganaji wa Yemen.
Habari ID: 3478220 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20
Kadhia ya Palestina
IQNA- Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain cha al-Wefaq kimesema hatua ya utawala wa Aal-Khalifa ya kujiunga na muungano wa baharini wa Marekani katika Bahari Nyekundu ni kusaliti kadhia ya Palestina.
Habari ID: 3478077 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/23
Waislamu wa Bahrain
TEHRAN (IQNA)- Kukamatwa Sheikh Muhammad S'anqur, Alimu mashuhuri, Khatibu na Imamu wa Sala ya Ijumaa wa Msikiti wa Imam Sadiq (AS) ulioko katika kitongoji cha Al-Diraz nchini Bahrain kumeibua moto wa hasira za umma wa Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3477043 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/25
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Kundi kuu la upinzani nchini Bahrain, Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, limelaani utawala unaotawala wa kifalme wa ukoo wa Al Khalifa kwa kuwazuia Waislamu kufanya maandamano ya kupinga kuvunjiwa heshima Qur'ani barani Ulaya.
Habari ID: 3476476 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/28
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Waislamu wa Madhehebu ya Shia nchini wa Bahrain Sheikh Isa Qassim amelaani vikali kitendo cha kuchomwa moto Qur'ani Tukufu hivi karibuni katika nchi za Ulaya.
Habari ID: 3476466 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/26
Mapambano ya watu wa Bahrain
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini wa Bahrain, Sheikh Isa Qassim amesisitiza kuendelea kwa njia ya Jihad na mageuzi katika nchi hiyo ya Kiarabu katika Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3476266 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/18
Ukandamizaji Bahrain
TEHRAN (IQNA) - Makundi ya upinzani Bahrain yamelaani mashtaka mapya dhidi ya mtetezi maarufu wa haki za binadamu na mwanaharakati wa kisiasa Abdulhadi al-Khawaja.
Habari ID: 3476186 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02
Hali ya Bahrain
TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati wa kisiasa wa Bahrain na mtetezi wa haki za binadamu ambaye tayari anatumikia kifungo cha maisha jela ameripotiwa kulengwa na msururu wa mashtaka mapya ikiwa ni pamoja na kuutusi utawala haramu Israel unaozikoloni ardhi za Palestina.
Habari ID: 3476111 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya al-Wefaq, kundi kuu la upinzani la Bahrain, amekaribisha wito wa Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar Sheikh Ahmed el-Tayyib wa mazungumzo ya baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni.
Habari ID: 3476072 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/11
Jinai nchini Bahrain
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kitaifa ya Kiislamu ya Al-Wefaq ambayo ni kundi kuu la upinzani nchini Bahrain linasema utawala wa ukoo wa Aal Khalifah unatumia vibaya ziara ya Papa Francis nchini humo ili kuficha jinai zake na ukiukaji wa haki za binadamu.
Habari ID: 3476036 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/05
Hali ya Bahrain
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, utawala wa Bahrain unatumia sheria za kuwatenga kisiasa wapinzani.
Habari ID: 3476019 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01
Waislamu Bahrain
Ayatullah Sheikh Isa Qassem, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Bahrain amesema, utawala wa kifalme wa Aal Khalifa unataka kuwafanya watu wa nchi hiyo watumwa.
Habari ID: 3475878 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/04
Kujipenyeza Wazayuni
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Bahrain amekosoa viikali uamuzi wa utawala wa Aal Khalifa wa kuanzisha kitongoji cha walowezi wa Kiyahudi katika mji mkuu Manama na kueleza kwamba, hatua hiyo ni jinai na dhulma ya wazi dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3475711 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31
Hali ya Waislamu Bahrain
TEHRAN (IQNA) – Utawala wa kiimla wa Bahrain umeshadidisha ukandamizaji wake wa kikatili dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo kabla ya Siku ya Ashura.
Habari ID: 3475577 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/04