IQNA – Idara ya Mfawidhi au Msimamizi wa wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, Jumapili imetangaza kuanza kwa shughuli za Wiki ya 15 ya Kimataifa ya Ghadir.
Habari ID: 3482309 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/01
IQNA – Ujumbe kutoka Astan (uongozi wa uangalizi/uhudumiaji) wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf nchini Iraq umekabidhi bendera za Ghadir kwa haram ya Bibi Masoumeh (SA) pamoja na Msikiti wa Jamkaran katika mji wa Qom nchini Iran
Habari ID: 3482301 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/30
IQNA – Uongozi wa Haram Takatifu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, umetangaza kuwa umekamilisha maandalizi yote ya kuendesha programu za Wiki ya Kimataifa ya Ghadir kwa mwaka 1447 Hijria.
Habari ID: 3482286 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/26
IQNA – Haramu tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, imepambwa kwa maua mengi kwa heshima ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3481742 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/31
IQNA – Kadri maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS) yanavyokaribia, bendera ya haram ya Imam huyo wa kwanza imebadilishwa katika hafla maalumu Jumapili.
Habari ID: 3481735 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/29
IQNA – Uwanja wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, leo tarehe 28 Disemba 2025 umeshuhudia hafla ya kupandisha bendera maalum.
Habari ID: 3481728 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/28
IQNA-Kiongozi wa idara ya nakala za maandiko ya Maktaba ya Al-Rawdha Al-Haidriya, iliyo ndani ya Haram ya Imam Ali (AS) nchini Iraq, amesema kuwa maktaba hii imejulikana kwa wingi na utofauti wa hazina zake za kidini na kisayansi, na imekuwa miongoni mwa maktaba mashuhuri zaidi.
Habari ID: 3481709 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/24
IQNA – Eneo mpya katika Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, ambalo linatambuliwa kwa ukubwa wake wa kipekee na sifa bainifu za usanifu wa Kiislamu, umezinduliwa rasmi Jumanne huko Najaf, Iraq.
Habari ID: 3481681 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19
IQNA – Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali (AS), imtangaza kuanza kwa maadhimisho ya Wiki ya Kimataifa ya Idul Ghadir, yakihusisha ushiriki kutoka zaidi ya mataifa 40 katika mabara matano.
Habari ID: 3480824 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/11
IQNA – Kongamano la wasomi kuhusu hadithi za Nahj al-Balagha ilifanyika katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq.
Idara ya Uhuishaji wa Urithi na Dar-ul-Ulum ya Nahj al-Balagha, inayohusiana na Idara ya Mfawidhi wa kaburi takatifu la HadhratAbbas (AS), iliandaa tukio hilo.
Habari ID: 3480630 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03
IQNA-Kuna mausuala mawili maarufu yaliyosalia kutoka kwa Ali Ibn Abi Talib (AS): la kwanza ni wosia wa kiakhlaqi kwa umma ambao anatoa maelekezo kuhusu mambo muhimu: "Allah Allah kwa yatima... n.k" na mwingine ni wosia wa kifedha ambao unajulikana kama "Kitabu cha Sadaka za Ali" (Waraka wa mali za wakfu za Ali).
Habari ID: 3480463 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/29
IQNA – Msomi cha Chuo cha Kiislamu (Hawzah) huko Najaf , Iraq amesema kuwa Imam Ali (AS) alileta uzoefu wenye thamani kubwa katika utawala wa Kiislamu kwa Ummah wa Kiislamu.
Habari ID: 3480417 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22
Ali katika Qur'ani/3
IQNA – Tafsiri kadhaa za Qur'ani Tukufu za Ahul Sunna zinabainisha kwamba aya ya 29 hadi 36 ya Surah Al-Mutaffifin zinasimulia hadithi ya wahalifu na wanafiki ambao walimcheka na kumdhihaki Imam Ali (AS) na kundi la waamini.
Habari ID: 3480086 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/21
Utafiti
IQNA – Kitabu cha lugha ya Kiarabu, "Yote ya Nahj al-Balagha," (Tamam Nahj al Balagha) kinatoa mkusanyiko uliotafitiwa na kamili wa maneno ya Imam Ali (AS). Kimekusanywa na Hujjatul Islam Seyyed Sadeq Mousavi, msomi kutoka Mashhad, kazi hii inalenga kushughulikia mapengo ya kihistoria na changamoto katika kuelewa asili ya maneno ya Imam Ali (AS) kama yalivyowasilishwa katika Nahj al-Balagha, mkusanyiko maarufu unaohusishwa na Sharif Razi.
Habari ID: 3480074 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/18
Ali katika Qur'ani/2
IQNA – Wafasiri wengi wanaamini kuwa aya ya 207 ya Surah Al-Baqarah katika Qur'ani Tukufu inamhusu Imam Ali (AS) kwa kitendo chake cha kujitoa muhanga kwa kulala katika kitanda cha Mtume Mtukufu (SAW) usiku wa Laylat al-Mabit.
Habari ID: 3480055 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/15
IQNA--Leo tarehe 13 mwezi Rajab, ni siku ya kukumbuka kuzaliwa Amirul Muuminin, Imam Ali bin Abi Twalib (AS) ambapo katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaadhimishwa pia kama Siku ya Baba.
Habari ID: 3480053 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/14
Ahlul Bayt AS
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 13 Rajab mwaka wa 30 Amul Fil, kulitokea tukio kubwa na la kushangaza ambalo lilikuwa halijawahi kutokea na halitatokea tena katika historia ya mwanadamu. Hii ilikuwa tarehe ya kuzaliwa Imam Ali AS katika Nyumba ya Mwenyezi Mungu, al-Kaaba.
Habari ID: 3480051 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/14
IQNA – Katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa Imam Ali (AS), mjumuiko wa Qur'ani umefanyika katika Haram au kaburi takatifu la Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq kwa hisani ya kituo cha Dar al-Quran katika eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3480045 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13
Imam Ali (AS) Najaf, Iraq,
Siku ya Ashura inapokaribia, ua wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, ulifunikwa na zulia jekundu.
Habari ID: 3479122 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Aya ya 55 ya Surah Al-Ma’idah ya Qur’ani Tukufu inasema kwamba “Walii wenu” ni Mwenyezi Mungu tu, Mtukufu Mtume (s.a.w), na wale wanaotoa Zaka wakati wakisujudu katika Sala.
Habari ID: 3479008 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24