IQNA – Mwanamume mwenye umri wa miaka 100 na mke wake wa miaka 95 kutoka Aceh ya Kati nchini Indonesia wanajiandaa kujiunga na mamilioni ya Waislamu katika ibada ya Hija ya mwaka huu, wakionyesha imani thabiti na uthabiti wa mwili katika uzee wao.
Habari ID: 3480697 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/17
IQNA – Mbunge wa zamani wa Iran ameielezea Hija kama ibada ya kiroho yenye malipo makubwa, lakini pia yenye manufaa mapana ya kisiasa na kijamii kwa Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3480683 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14
IQNA – Msafara wa Qur'ani wa Nur (Noor) kutoka Iran, ambao ni ujumbe wa wasomaji Qur'ani, unajiandaa kuendesha zaidi ya matukio 220 ya Qur'ani wakati wa ibada ya Hija ya mwaka huu wa 1446 Hijria (2025) katika miji mitakatifu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3480682 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/13
IQNA – Kituo cha uelimishaji kwa lugha mbalimbali kimezinduliwa katika Msikiti Mkuu wa Makka, mji mtukufu.
Habari ID: 3480674 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/12
IQNA – Afisa wa afya kutoka Iran amesisitiza umuhimu wa kuzingatia kanuni za usafi na afya wakati wa safari ya Hija ili kuweza kunufaika vilivyo na safari hii ya kiroho.
Habari ID: 3480669 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/11
IQNA – Taathira chanya ya Hija katika kuimarisha umoja wa Waislamu sio ya eneo maalum wala ya muda mfupi, amesema mtaalamu na mchunguzi.
Habari ID: 3480663 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10
IQNA – Kubeba kadi ya Nusuk ndani ya Saudi Arabia ni sharti kwa walio katika safari ya Hijja kwani ina taarifa muhimu. Lakini itakuwaje iwapo atapoteza?
Habari ID: 3480655 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/08
IQNA – Mpango mpana wa uendeshaji kwa msimu wa Hija utazinduliwa nchini Saudi Arabia, huku tangazo rasmi likipangwa kutolewa Alhamisi.
Habari ID: 3480645 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/06
IQNA – Mamlaka za Saudi Arabia zimewakamata raia watano wa kigeni huko Khamis Mushayt, katika mkoa wa Asir kusini mwa nchi, kwa kuhusika na mpango wa kuwatapeli Mahujaji.
Habari ID: 3480642 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/05
IQNA – Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Hija aameitaja safari ya Hija kama fursa ya dhahabu ya kujitambua na kupata uelewa wa kina zaidi wa Uislamu.
Habari ID: 3480639 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/05
IQNA--Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kuwa lengo la Mwenyezi Mungu katika kwa kuweka ibada ya Hija ni kuwasilisha kielelezo kamili na kinachoelekeza namna ya kuendesha maisha ya binadamu, na akaongeza: muundo na sura ya dhahiri ya ibada hii ni ya kisiasa kabisa, huku maudhui yake yakiwa ya kiroho na ya ibada, ili kuhakikisha manufaa kwa wanadamu wote.
Habari ID: 3480637 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04
IQNA – Waumini wanaokusudia kutekeleza Ibada ya Hija wanaendelea kuwasili Saudi Arabi na kupokelewa katika Msikiti Mkuu wa Makka, ambapo makundi ya awali yaliwasili mnamo Aprili 30.
Habari ID: 3480626 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/02
IQNA – Uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji mtakatifu wa Madina ulipokea kundi la kwanza la waumini wanaotekeleza ibada ya Hija ya mwaka huu wa 1446 (2025) siku ya Jumanne.
Habari ID: 3480620 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/30
IQNA –Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaoelekea katika ibada ya Hija nchini Saudi Arabia mwaka huu wanatarajia kuanza safari yao wiki ijayo, kulingana na
Habari ID: 3480612 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/29
IQNA – Utoaji wa kadi mahiri za Hija za Nusuk, ambazo ni hati rasmi za utambulisho zinazosaidia kutofautisha mahujaji waliopata idhini na wale wasioidhinishwa, umeanza nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3480601 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/27
IQNA – Saudi Arabia imetangaza kuwa zaidi ya Waislamu milioni 18.5 walitekeleza ibada za Hija na Umrah mwaka uliopita.
Habari ID: 3480591 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/25
IQNA – Mpango kamili umeanzishwa kuhakikisha usalama wa vyakula, dawa, na bidhaa za matibabu zinazotolewa kwa Mahujaji katika miji ya Makka na Madina wakati wa msimu ujao wa Hija.
Habari ID: 3480580 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/22
IQNA – Mipango inaendelea kuanzisha maeneo ya kupumzika kwa Mahujaji katika sehemu mbalimbali za Mina, Arafat na Muzdalifah karibu na Makka wakati wa Hija ya kila mwaka.
Habari ID: 3480557 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/18
IQNA – Jumla ya raia 85,000 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika ibada ya Hija mwaka huu ambapo miongoni mwao 1,100 wana umri wa zaidi ya miaka 80, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3480553 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/17
IQNA – Saudi Arabia imewafukuza raia wa kigeni wasiopungua 8,000 kama sehemu ya kampeni ya usalama kwa lengo la kuhakikisha utaratibu kabla ya Hija ya mwaka huu, Wizara ya Mambo ya Ndani ilitangaza.
Habari ID: 3480540 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/14