TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa jamii ya Wauyghur Waturuki wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada wamenunua jengo la kale ambalo lilikuwa Kanisa na kuligeuza kuwa Msikiti.
Habari ID: 3474344 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Madaktari wa Kiislamu Pakistan (PIMA) inapanga kuandaa warsha za kuokoa maisha kwa wananchi katika misikiti kote Pakistan.
Habari ID: 3474339 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25
TEHRAN (IQNA)- Eneo la kiviwanda la Turin, ambao ni kati ya miji mikubwa Italia, hivi karibuni litakua na fahari ya kupata kituo kikubwa cha utamaduni wa Kiislamu ambacho kitajumuisha pia msikiti.
Habari ID: 3474332 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23
TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Muislamu katika jimbo la Michigan nchini Marekani amelalamika kuwa polisi walimvua Hijabu baada ya kumkamata. Alivuliwa Hijabu katika kituo cha polisi wakati wa kupigwa picha.
Habari ID: 3474319 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20
TEHRAN (IQNA) – Darul Iftaa ya Misri imetangaza marufuku ya kuandika aya za Qur'ani Tukufu kwa alfabeti za kilatini.
Habari ID: 3474316 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20
TEHRAN (IQNA)- Australia ina mpango wa kuwa kitovu cha kieneo cha mfumo wa kifedha wa Kiislamu kutokana na kuwa ina uthabiti wa kisiasa, mfumo wa kifedha uliostawi na uchumi mkubwa wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3474313 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19
TEHRAN (IQNA) – ‘Wiki ya Halal’ imeandaliwa kwa mara ya kwanza huko Taiwan kwa lengo la kuarifisha bidhaa na huduma ambazo zimetayarishwa kwa kuzingatia mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3474310 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wamesali Sala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti mpya ambayo umejengwa katika mtaa wa Nishi Kasai eneo la Edogawa mjini Tokyo Japan.
Habari ID: 3474309 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18
TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tano ya Kozi Maalumu ya Kanuni za Tilawa ya Qur’ani Tukufu inafanyika nchini Mali kwa himaya ya Kituo cha Darul Qur’an cha Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474306 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu (ISBO) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14
TEHRAN (IQNA)- Wizi katika msikiti huko Calgary nchini Canada umepelekea waumini waingiwe na hofu na wasiwasi mkubwa.
Habari ID: 3474290 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13
TEHRAN (IQNA) - Polisi wanachunguza shambulio la kuchoma moto msikiti huko Greater Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3474286 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika kijiji kimoja kaskazini mwa Misri kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474285 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Bahrain wameandamana kulaani kuuawa shahidi Mohammad Nas, kijana mwanadampinduzi aliyekuwa mfungwa wa kisiasa katika jela za kuogofya za utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
Habari ID: 3474277 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09
TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikul Islam (SIO) nchini Thailand imeidhinisha kuanza kwa ibada kwenye misikiti katika jamii ambazo angalau 70% ya idadi ya watu wenye umri wa miaka 18 au zaidi wamepewa chanjo dhidi ya COVID-19.
Habari ID: 3474269 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07
TEHRAN (IQNA)-Wanachama wa Kituo cha Kiislamu cha Langley huko Langley, British Columbia nchini Canada, "wameshtuka" na "wamekata tamaa" baada ya kupokea barua ya vitisho na ya kibaguzi.
Habari ID: 3474254 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia, utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani ziko kwenye muungano mmoja.
Habari ID: 3474252 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Sultan au Masjid Sultan katika eneo la kihistoria la Kamponga Gelam ni kitovu cha jamii wa Waislamu nchini Singapore.
Habari ID: 3474245 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Wakfu la Kuwait limetangaza kuwa Duru ya 24 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yanafanyika nchini humo.
Habari ID: 3474232 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27
TEHRAN (IQNA)- Wanakijiji Wakristo wanashirikiana na Waislamu katika kukarabati msikiti mmoja wa kale katika mkoa wa Al Minya nchini Misri.
Habari ID: 3474231 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27