TEHRAN (IQNA)- Australia ina mpango wa kuwa kitovu cha kieneo cha mfumo wa kifedha wa Kiislamu kutokana na kuwa ina uthabiti wa kisiasa, mfumo wa kifedha uliostawi na uchumi mkubwa wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3474313 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19
TEHRAN (IQNA) – ‘Wiki ya Halal’ imeandaliwa kwa mara ya kwanza huko Taiwan kwa lengo la kuarifisha bidhaa na huduma ambazo zimetayarishwa kwa kuzingatia mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3474310 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wamesali Sala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti mpya ambayo umejengwa katika mtaa wa Nishi Kasai eneo la Edogawa mjini Tokyo Japan.
Habari ID: 3474309 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18
TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tano ya Kozi Maalumu ya Kanuni za Tilawa ya Qur’ani Tukufu inafanyika nchini Mali kwa himaya ya Kituo cha Darul Qur’an cha Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474306 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu (ISBO) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14
TEHRAN (IQNA)- Wizi katika msikiti huko Calgary nchini Canada umepelekea waumini waingiwe na hofu na wasiwasi mkubwa.
Habari ID: 3474290 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13
TEHRAN (IQNA) - Polisi wanachunguza shambulio la kuchoma moto msikiti huko Greater Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3474286 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika kijiji kimoja kaskazini mwa Misri kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474285 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Bahrain wameandamana kulaani kuuawa shahidi Mohammad Nas, kijana mwanadampinduzi aliyekuwa mfungwa wa kisiasa katika jela za kuogofya za utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
Habari ID: 3474277 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09
TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikul Islam (SIO) nchini Thailand imeidhinisha kuanza kwa ibada kwenye misikiti katika jamii ambazo angalau 70% ya idadi ya watu wenye umri wa miaka 18 au zaidi wamepewa chanjo dhidi ya COVID-19.
Habari ID: 3474269 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/07
TEHRAN (IQNA)-Wanachama wa Kituo cha Kiislamu cha Langley huko Langley, British Columbia nchini Canada, "wameshtuka" na "wamekata tamaa" baada ya kupokea barua ya vitisho na ya kibaguzi.
Habari ID: 3474254 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Saudi Arabia, utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani ziko kwenye muungano mmoja.
Habari ID: 3474252 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Sultan au Masjid Sultan katika eneo la kihistoria la Kamponga Gelam ni kitovu cha jamii wa Waislamu nchini Singapore.
Habari ID: 3474245 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/01
TEHRAN (IQNA)- Shirika la Wakfu la Kuwait limetangaza kuwa Duru ya 24 ya Mashindano ya Kitaifa ya Kusoma na Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yanafanyika nchini humo.
Habari ID: 3474232 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27
TEHRAN (IQNA)- Wanakijiji Wakristo wanashirikiana na Waislamu katika kukarabati msikiti mmoja wa kale katika mkoa wa Al Minya nchini Misri.
Habari ID: 3474231 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/27
TEHRAN (IQNA)- Watu kote Iran wanaendelea na mijimuiko kwa ajili ya kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS na wafuasi wake watiifu 72 katika janga la Karbala mwaka 61 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3474203 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/18
TEHRAN (IQNA) "American Muslims (Waislamu wa Marekani) ni filamu inayoshughulikia maswala ya sasa kama vile ubaguzi wa rangi, na ubaguzi katika enzi ya media ya kijamii.
Habari ID: 3474200 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/17
TEHRAN (IQNA)- Sekta ya bidhaa na huduma ‘Halal’ duniani ina thamani ya zaidi ya dola trilioni 3 na inawakilisha moja ya sekta zenye mustakabali mwema.
Habari ID: 3474193 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/15
IQNA (TEHRAN)- Mafundisho ya Qur'ani Tukufu ndio chanzo cha Waislamu wengi nchini Uingereza kujitolea katika kampeni ya kukabiliana na janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3474184 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/12
TEHRAN (IQNA)- Mtetezi wa Watumiaji (Ombudsman) katika Shirika la Mapato la Canada (CRA) atazindua uchunguzi baada ya Waislamu na mashirika mengine madogo kuwasilisha malalamiko juu ya kulengwa vibaya kwa ukaguzi.
Habari ID: 3474175 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09