TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema uchaguzi uliopangwa kufanyika nchini humo hautaizuia harakati hiyo kujibu shambulio lolote la utawala bandia wa Israel, akisisitiza kuwa Hizbullah itajibu papo hapo shambulio lolote la utawala huo haramu.
Habari ID: 3475187 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa Umma mzima wa Kiislamu kuanzisha harakati kubwa zaidi dhidi ya kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden.
Habari ID: 3475143 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19
Kiongozi wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuwa, wananchi wa Palestina hawatashindwa katika mapambano yao ya ukombozi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3475118 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/12
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon anatazamiwa kutoa hotuba Ijumaa kwa mnasaba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475087 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/30
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.
Habari ID: 3475052 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/19
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani imetenda jinai nyingi dhidi ya wananchi wa mataifa mbalimbali ya dunia na kuiamini nchi hiyo ni ujuha na ujinga.
Habari ID: 3475025 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/09
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyed Hassan Nasrallah ametoa hotuba muhimu katika ufunguzi wa kongamano linalofanyika mjini Beirut kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa 30 tangu alipouawa shahidi Katibu Mkuu wa Pili wa Hizbullah, Sayyid Abbas al-Musawi na kusema Marekani inabeba dhima ya mgogoro wa sasa wa Ukraine.
Habari ID: 3474990 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/01
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Baraza Kuu la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ni makosa kwa baadhi ya nchi kutegemea uungwaji mkono na himaya ya Marekani, na kwamba kadhia ya Ukraine imethibitisha tena ukweli huo.
Habari ID: 3474977 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/26
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amesema hali ya ndani ya utawala ghasibu wa Israel u na matukio ya kimataifa yote kwa pamoja yanaashiria kuangamia utawala huo katili.
Habari ID: 3474968 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake moja isiyo na rubani au drone aina ya "Hassan" imeingia hadi ndani ya anga ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la Israel na kutekeleza oparesheni ya kukusanya taarifa za siri.
Habari ID: 3474945 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Hizbuallah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah amezilaani nchi za Waislamu ambazo zimeanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kuutaja utawala huo kuwa ni ‘utawala wa muda’ ambao unaelekea kusambaratika.
Habari ID: 3474934 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/16
TEHRAN (IQNA)- Shahidi Abu Mahdi al Muhandis, marhum naibu kamanda wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi wa Iraq, Al Hasdh al Shaabi katika kubainisha sifa za Shahidi Imad Mughniya alisema kuwa yungali hai katika medani za kivita.
Habari ID: 3474928 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/14
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Nasrallah ameonya kuwa vita vyovyote dhidi ya Iran vitasababisha mlipuko mkubwa katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
Habari ID: 3474909 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/09
Sayyid Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha kupuuza uwepo wa vikosi vamizi vya Marekani nchini Iraq, ni sawa na kuuawa shahidi kwa mara ya pili Luteni Jenerali Qasem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474763 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuliweka jina la Hizbullah kwenye orodha ya makundi ya kigaidi hakutaathiri hata chembe azma na irada ya muqawama au mapambano.
Habari ID: 3474609 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27
TEHRAN (IQNA)- Australia imelaaniwa vikali kufuatia hatua yake ya kutangaza chama cha Hizbullah cha Lebanon kuwa eti ni harakati ya kigaidi.
Habari ID: 3474599 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah amesema kuwa, mazoezi kijeshi yanayofanywa mara kwa mara ya na utawala haramu wa Israel ni kielelezo cha wasiwasi na woga wa utawala huo mkabala wa Lebanon
Habari ID: 3474544 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12
TEHRAN (IQNA)- Katika kulalamikia matamshi yaliyotolewa siku ya Ijumaa na George Kurdahi , Waziri wa Habari wa Lebanon aliyekosoa uvamizi wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen na kuutaja kuwa usio na maana, Saudia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut na kumtaka balozi wa Lebanon pia aondoke nchini humo mara moja.
Habari ID: 3474498 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
Rais Vladimir Puton wa Russia amesema harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ina nafasi muhimu katika uga wa kisiasa nchini Lebanon.
Habari ID: 3474455 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema chama cha Al-Quwwatul-Lubnaniyyah (Lebanese Forces) kinalenga kuibua vita vya ndani nchini humo.
Habari ID: 3474442 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19