iqna

IQNA

Jinai za Israel
IQNA-Mohammad Afif, msemahi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameuawa shahidi katika shambulio la utawala wa Kizayuni huko Ras al-Naba, Beirut mji mkuu wa Lebanon.
Habari ID: 3479766    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17

Muqawama
IQNA – Mhimili wa Muqawama (Mapambano ya Kiislamu) umepata nguvu na uhalali kiasi kwamba nyanja yake ya ushawishi imevuka eneo hilo na kufika duniani kote, amesema mkuu wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon.
Habari ID: 3479756    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16

Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah Sheikh Naim Qassem amewaandikia barua wapiganaji wa harakati hiyo ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, akiwapongeza kwa mapambano ya kujivunia wanayoyaendeleza katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake.
Habari ID: 3479749    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/14

Muqawam
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa pongezi kwa mashahidi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kusema kwamba wameleta heshima katika kambi ya muqawama.
Habari ID: 3479715    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07

Muqawama
IQNA - Sheikh Naim Qassem, kiongozi mpya aliyeteuliwa wa Hizbullah, amesema harakati hiyo ya muqawama au mapambano ya Kiislamu ya Lebanon haitegemei juhudi za kisiasa kusimamisha mapigano yanayoendelea baina yake na utawala wa Israel.
Habari ID: 3479714    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07

Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amempongeza Sheikh Naim Qassem kwa kuteuliwa kuwa katibu mkuu mpya wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479702    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/05

Muqawama
IQNA –Khitma kwa ajili ya Shahidi Sayyid Hashem Safieddine, mkuu wa Halmashauri Kuu ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ambaye aliuawa shahidi mapema mwezi huu, imefanyika Tehran siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479681    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/01

IQNA-Sheikh Naim Qassim aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa harakati hiyo ya mapambano baada ya mtangulizi wake Sayyid Hassan Nasrullah kuuawa shahidi katika hujuma ya Israel kusini mwa Beirut, mwezi uliopita.
Habari ID: 3479668    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/29

Muqawama
IQNA - Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Sayed Hashem Safieddine, Mkuu wa Baraza Kuu ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, katika hujuma ya kigaidi yaIsrael.
Habari ID: 3479644    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25

Katika ujumbe baada ya kuuawa shahidi Sayyid Safieddine
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amempongeza Sayyed Hashem Safieddine, kiongozi wa ngazi za juu wa Hizbullah aliyeuawa shahidi hivi karibuni katika hujuma ya utawala haramu wa Israel, na kuitaja harakati ya muqawama kuwa "mtetezi shupavu zaidi wa Lebanon na ngao madhubuti zaidi dhidi ya uroho wa utawala wa Kizayuni." Aidha amesisitiza kuwa, Hizbullah iko hai na inastawi.
Habari ID: 3479640    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/25

Muqawama
IQNA-Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kuthibitisha kuuawa shahidi Mkuu wake wa Baraza la Utendaji katika shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni kwenye kitongoji Adh-Dhaahiyah Kusini katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
Habari ID: 3479639    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/24

Muqawama
IQNA-Ndege ya kivita isiyo na rubani ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelenga makazi ya waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu huko Caesarea, kaskazini mwa Tel Aviv, baada ya kikosi cha anga za utawala huo kushindwa kuitungua.
Habari ID: 3479614    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/19

Muqawama
IQNA- Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ameonya kuwa sera ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za wengine ni tishio sio tu kwa Palestina bali kwa eneo na dunia nzima.
Habari ID: 3479604    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/17

Muqawama
IQNA - Washiriki katika kongamano la mtandaoni lililofanyika leo wamesisitiza kuwa wanawake wa mregno wa muqawama au mapambano ya Kiislamu wataendelea kujitolea kwa ahadi yao ya kubaki imara kwenye njia ya Katibu Mkuu wa Hizbullah aliyeuawa shahidi Sayyid Hassan Narallah.
Habari ID: 3479598    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15

Jinai za Israel
IQNA-Mashambulizi  kinyama ya anga yanayofanywa na  katili la utawala wa Kizayuni wa Israel yameteketeza kikamilifu msikiti wa kale na kubomoa soko kusini mwa Lebanon, katika kile kilichoelezewa kama "uangamizaji wa kila kitu".
Habari ID: 3479586    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Muqawama
IQNA - Dada yake Abbas Al-Musawi, mwanzilishi mwenza na katibu mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, alielezea uungaji mkono wa harakati hiyo kwa Wapalestna wa Gaza ni sawa na kutetea utu wa binadamu.
Habari ID: 3479534    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/04

Muqawama
IQNA - Harakati ya Watu wa Tunisia imesema kuuawa shahidi lilikuwa ni tamanio la thamani zaidi la katibu mkuu wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrallah.
Habari ID: 3479511    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
IQNA- Harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa ikithibitisha kuuawa shahidi katibu mkuu wake, Sayyid Hassan Nasrallah, ambaye aliuawa katika shambulio la kigaidi la utawala haramu wa Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479502    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28

Ujumbe
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa, watenda jinai wa Kizayuni wajue kwamba wao si lolote kuweza kuusababishia madhara makubwa muundo imara wa Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479501    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/28

Muqawama
IQNA-Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetumia kombora la balestiki kulenga makao makuu ya shirika la kijasusi la Israel, Mossad huko Tel Aviv ikiwa ni kwa mara ya kwanza, suala lililosababisha wahka mkubwa na ving'ora katika mji huo na maeneo mengine ya Israel ikiwa ni pamoja na Netanya.
Habari ID: 3479492    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/26