iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Sheikh Tariq Abdul Basit Abdul Samad, mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad, hivi karibuni amesoma aya za Qur’ani Tukufu kuhusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472739    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/06

TEHRAN (IQNA) - Vikao vya qiraa ya Qur'ani Tukufu vinafanyika katika hospitali na vituo vya tiba katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472734    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.
Habari ID: 3472706    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/26

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni klipu ya video ya qiraa ya Qur’ani Tukufu ya Ustadh Abdul Basit Abdul Samad imesambaa katika intaneti.
Habari ID: 3472698    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24

TEHRAN (IQNA) – Aplikesheni mpya ya Qur’ani Tukufu inayojulikana kama “Quranona” ambayo ina tarjuma kwa lugha 35 imezinduliwa.
Habari ID: 3472680    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/19

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) mashuhuri wa Qur’ani Tukufu nchini Misri Sheikh Muhammad Mahmoud Asfour ameaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 82.
Habari ID: 3472678    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/18

TEHRAN (IQNA) – Qarii (msomaji) maarufu wa Qur’ani Tukufu kutoka Saudi Arabia, Abubakr al-Shateri ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472622    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/01

TEHRAN (IQNA) – Mafunzo ya kuhifadhi Qur’ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) yatafanyika kwa njia ya intaneti baada ya misikiti na vituo vya Kiislamu kufungwa nchini humo kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472575    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/17

TEHRAN (IQNA) – Warsha ya 'Mazingira kwa Mtaamo wa Qur'ani Tukufu na Sunnah ya Mtume Muhammad SAW imefanyika nchini Qatar.
Habari ID: 3472487    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/19

TEHRAN (IQNA) –Maelfu ya wanafunzi wamejisajili katika masomo ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3472413    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/28

TEHRAN (IQNA) – Tarjumi ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiebrania iliyochapishwa Saudia Arabia imepatikana ikiwa na makosa zaidi ya 300.
Habari ID: 3472411    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/27

TEHRAN (IQNA) – Nakala milioni 1.5 za Qur'ani Tukufu zimechapishwa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3472381    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/18

TEHRAN (IQNA) - Washindi wa Mashindani ya 29 ya Qur'ani ya Sultan Qaboos wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Masikiti wa Sultan Qaboos katika Wilaya ya Basusher nchini humo.
Habari ID: 3472310    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/28

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Kazakhstan katika mji wa Taraz ambapo wanawake 87 wameshiriki.
Habari ID: 3472305    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/26

TEHRAN (IQNA) – Kitivo cha Qur'ani Tukufu kimefunguliwa katika Chuo Kikuu cha Al Qasimia huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3472277    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Awamu ya 17 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tunisia wametangazwa katika sherehe iliyofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3472276    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14

Mgombea urais nchini Algeria amesema wote waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nchini humo watatunukiwa Shahada (digrii) ya Kwanza.
Habari ID: 3472260    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/07

TEHRAN (IQNA) – Timu ya watu 40 wakiwemo wakalimani na wanazuoni wa Uislamu wanatazamiwa kuanza kuandika tarjumi mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kirussia.
Habari ID: 3472249    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/02

TEHRAN (IQNA) – Nakala ya kale zaidi ya Qur'ani Tukufu nchini China imewekwa katika maonyesho ya umma kwa mara ya kwanza katika mkoa wa Qinghai, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472245    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/01

TEHRAN (IQNA) –Jeshi la kujitolea la wananchi nchini Iran maarufu kama Basiji limezindua chekechea 620 mpya za Qur’ani Tukufu kote nchini.
Habari ID: 3472231    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/26