iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Sudan imeanza mradi wa kitaifa wa kukarabati nakala za kale za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471844    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/17

TEHRAN (IQNA)- Ajuza mwenye umri wa miaka 75 nchini Saudi Arabia amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471820    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/27

TEHRAN (IQNA)- Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imetenga bajeti ya Euro milioni 2.7 katika mradi wa kufanya utafiti kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471788    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/27

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15

TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
Habari ID: 3471763    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/07

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambazwa nakala 5,000 za Qur'ani Tukufu iliyotarujumiwa kwa lugha ya Kichewa nchini Malawi.
Habari ID: 3471759    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/03

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
Habari ID: 3471758    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/02

TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wa Chuo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu cha Idlib, Syria wamehitimu katika sherehe ambayo iliashiria kurejea hali ya kawaida katika baada ya eneo hilo kukumbwa kwa muda mrefu.
Habari ID: 3471726    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/01

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii na mwanazuoni mtajika wa Qur'ani Tukufu nchini Libya na katika ulimwengu wa Kiislamu Sheikh Mustafa Qashqash amefariki dunia na kuzikwa Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.
Habari ID: 3471671    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/15

TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram katika msimu wa Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471632    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17

TEHRAN (IQNA)- Wanachuo zaidi ya 200 waliohifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu wamehitimu katika Kituo cha Masomo ya Qur’ani cha Chuo Kikuu cha Bayero cha Jimbo la Kano (BUK).
Habari ID: 3471614    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31

TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa itatuma msafara wa Qur'ani Tukufu, katika Ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471591    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/12

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Senegal kimetangaza utayarifu wake katika kuisaidia nchi hiyo kuimarisha shule au Madrassah za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471589    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/10

TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Jordan imetangaza mpango wa kuzindua vituo 50 vya kuhifadhi Qur'ani katika mkoa wa Karak nchini humo.
Habari ID: 3471568    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/22

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Elimu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa karibu wanafunzi milioni moja nchini wamehifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3471566    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/20

TEHRAN (IQNA)- Kitengo cha kimataifa cha Maonyesho ya 26 ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kilizinduliwa Jumapili katika siku ya 11 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471534    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28

TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania yanatazamiwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dar es Salaam.
Habari ID: 3471529    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/24

TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Halmasahuri ya Mapatano Uganda (URA) amekanusha taarifa kuhusu kuwepo mpango wa kutoza ushuru nakala za Qur'ani Tukufu na Bibilia.
Habari ID: 3471524    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, moja ya mahitaji muhimu na ya lazima ya umma wa Kiislamu hii leo, ni udharura wa kushikamana na Qur'an Tukufu na kuifanyia kazi.
Habari ID: 3471518    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/18