TEHRAN (IQNA)- Idara ya masuala ya kidini nchini Uturuki imetangaza mpango wa kuandika tafsiri mpya ya Qur'ani itakayaondikwa kwa mchango wa wanasayansi.
Habari ID: 3471452 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/03
TEHRAN (IQNA)-Uturuki imewatunuku Waislamu wa kusini mwa Uhispania nakala 3,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471448 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/30
TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Tisa ya Qur'ani ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Saudi Arabia yamekuwa yakiendelea mjini Jeddah tokea Februari 25.
Habari ID: 3471409 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/28
Mtaalamu wa Qur’ani kutoka Lebanon
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa Qur’ani Tukufu kutoka Lebanon amesema mitandao ya kijamii ni fursa ya kipekee ya kufundisha Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471408 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/27
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani kwa waliosilimu yamefanyika hivi karibuni mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE.
Habari ID: 3471401 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/23
Waziri wa Mambo ya Ndani Pakistan
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Mambo ya Ndani Pakistan Ahsan Iqbal amesema Qur'ani Tukufu ni kama ramani ya njia katika mwaisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3471374 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/28
TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika mwezi wa Aprili sambamba na Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3471365 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/22
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya nakala milioni 1.6 za Qur’ani Tukufu zimechapishwa katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi cha miezi tisa iliyopita.
Habari ID: 3471344 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/06
TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 21,000 wanaohudumu vifungo nchini Iran wamehifadhi Qur'ani Tukufu katika viwango mbali mbali.
Habari ID: 3471338 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/01
…Na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu...
Qur'ani Tukufu Sehemu ya Aya ya 87 ya Surat al Al Baqara
Habari ID: 3471329 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/29
TEHRAN (IQNA)-Tarjumi ya kwanza ya Qur'ani kwa lugha Kirundi imezinduliwa nchini Burundi katika hatua ambayo imetajwa kuwa kihistoria tokea Uislamu uingie nchini humo.
Habari ID: 3471326 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/27
TEHRAN (IQNA)-Asilimia 12.5 ya watu katika kila mkoa nchini Iran wanatazamiwa kuhifadhi Qur'ani kikamilifu ifikapo mwaka 2025, kwa mujibu wa mkakati uliowekwa.
Habari ID: 3471324 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/25
إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ
“Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na Kwake Yeye tutarejea"
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Shaaban al Jundi, qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka mkoa wa Beni Suef nchini Misri ameaga dunia hivi karibuni baada ya kuadhini katika moja ya misikiti ya mkoa huo.
Habari ID: 3471312 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/17
TEHRAN (IQNA)-Wafungwa 2,950 katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamepunguziwa vifungo vyao baada ya kuhifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3471302 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/10
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya wanawake 7,000 wanashiriki katika awamu ya 11 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani kwa wanawake mjini Tehran.
Habari ID: 3471301 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/09
TEHRAN (IQNA)-Kuna madrassah za Qur'ani zipatazo 14,000 nchini Morocco ambazo zinatoa mafunzo ya Qur'ani kwa wanafunzi 450,000 ambapo asilimia 40 kati yao ni wanawake.
Habari ID: 3471294 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/04
TEHRAN (IQNA)- Maimamu na wahubiri wa Kiislamu barani Ulaya wameshiriki katika mkutano wa siku moja mjini Brussels Ubelgiji kwa kusisitiza kuhusu ujumbe wa amani wa Qur’ani Tukufu kwa wanadamu wote.
Habari ID: 3471284 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/27
TEHRAN (IQNA)-Baba nchini Saudi Arabia amemsamehe muuaji wa mwanae kwa sharti kuwa ahifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3471265 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/16
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa pili wa kimataifa kuhusu qiraa au usomaji wa Qur’ani Tukufu umefanyika katika mji wa Istanbul, Uturuki.
Habari ID: 3471252 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/07