TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani kupitia mitandao ya kijamii yamefanyika nchini Tanzania kwa himya ya Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Dar es Salaam ambapo washindi wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3475231 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10
TEHRAN (IQNA)- Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyofasiriwa kwa lugha ya Kichina inahifadhiwa katika Kituo cha Bait-ul-Qur'an nchini Bahrain.
Habari ID: 3475229 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09
TEHRAN (IQNA)-Utumizi wa neno 'Insallah' (Mungu Akipenda) umeenea sana miongoni mwa Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475221 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya mabarobaro imemalizija Jumatatu wiki hii nchini Zambia.
Habari ID: 3475207 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05
TEHRAN (IQNA)- Mohamed Ibrahim Ahmed Ghanim ni kijana Mmisri aliyeibuka mshindi katika shindano la qiraa katika Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania mwaka huu.
Habari ID: 3475199 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02
QOM (IQNQ) - Kikao cha mwisho cha kisomo cha Qur'ani Tukufu cha tarteel kimefanyika Jumapili katika Haram Takatifu ya Bibi Maasoumah mjini Qum. Siku Kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa nchini Iran Jumanne.
Habari ID: 3475197 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02
TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya watu 40,000 kutoka nchi mbali mbali duniani wametembelea Maonyesho ya Qur'ani Tukufu ambayo yamefanyika kaitka ukumbi wa Four Points wa Hoteli ya Sheraton Al Naseem katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudia.
Habari ID: 3475196 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02
TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kufunga Mashindano ya Nane ya Qur'ani Barani Ulaya zimefanyika wikiendi hii.
Habari ID: 3475195 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Misahafu 50,000 imesambwazwa kwa waumini waliofika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram kwa ajili ya Umrah au Hija ndogo wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475194 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01
TEHRAN (IQNA) - Kutawassuli maana yake ni mwanadamu afanye kiungo kati yake na Mwenyezi Mungu ili akidhiwe haja yake kwa sababu ya kiungo hicho
Habari ID: 3475193 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Ghana ambapo yamewashirikisha wanafunzi 60 wa vyuo vikuu.
Habari ID: 3475188 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30
TEHRAN (IQNA) – Abdulwahab Ciccarello ametafsiri Qur'ani Tukufu kwa Kiitaliano na anasema msukumo wake ulikuwa kutoa tafsiri ambayo imezingatia mtazamo wa Kiislamu.
Habari ID: 3475167 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/25
“ Laylatul Qadri (Usiku wa Cheo Kitukufu) ni bora kuliko miezi elfu”. Hii aya ya 3 ya Surat Al-Qadr katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475158 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23
TEHRAN (IQNA)- Msomi mmoja wa Iraq ametoa wito kwa jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kuzuia vitendo vya kuvunjia heshima dini na matukufu ya kidini.
Habari ID: 3475149 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/21
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa Umma mzima wa Kiislamu kuanzisha harakati kubwa zaidi dhidi ya kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden.
Habari ID: 3475143 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Vituo vya Kiislamu Ulaya imelaani kitendo cha kuvunjiwa heshim Qur'ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni.
Habari ID: 3475139 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18
TEHRAN (IQNA)- Waislamu na wapenda haki nchini Sweden wameendeleza maandamano kwa siku ya nne mfululizo kulalamikia mpango wa kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3475138 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemuita balozi mdogo wa Sweden mjini Tehran na kumfahamisha kuhusu malalamiko makali ya Iran kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na kundi moja lenye misimamo mikali nchini Sweden katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475136 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema serikali ya Sweden inapaswa kuwajibika kuhusu kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3475132 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17
TEHRAN (IQNA)- Raundi ya kwanza ya Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imepengwa kufanyika katika miezi ya Juni na Julai.
Habari ID: 3475111 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11