TEHRAN (IQNA) - Shirika la Kiislamu la Elimu Sayansi na Utamaduni (ISESCO) limetangaza kuwa linaendesha shughuli 50 za Qur'ani Tukufu kila mwaka.
Habari ID: 3472225 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/21
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kilatini imeonyeshwa katika Maonyesho ya 38 ya Kimataifa ya Vitabu (SIBF) huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3472198 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/03
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwa duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani nchini humo imepewa jina la Qari maarufu wa nchi hiyo, al marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472184 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/23
TEHRAN (IQNA) – Imamu wa Msikiti wa Chesham huko Buckinghamshire nchini Uingereza, Sheikh Arif Hassan amezitunuku maktaba za eneo hilo nakala 20 za Qur'ani Tukufu zilizotarjumiwa kwa lugha ya Kiingereza.
Habari ID: 3472165 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/10
TEHRAN (IQNA) - Muuza mihadarati wa zamani nchini Uturuki ambaye hadi sasa ametumikia kifungo cha mwaka moja na nusu gerezani amewafnaikiw akuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3472162 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/08
TEHRAN (IQNA) – Wenye ulemavu wa macho katika Jamhuri ya Kiislamu ya Irana watakabidhiwa nakala maalumu za Qur'ani zilizoandikwa kwa maandisi ya Nukta Nundu ama Braille.
Habari ID: 3472160 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/07
TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri kimetangaza mpango wa kuwawezesha vijana kuhifadhi Qur'ani Tukufu kwa kutumia programu ya kompyuta inayojulikana kama 'Kitabu cha Kielektroniki'.
Habari ID: 3472154 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/30
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) – Mwanamke wa Russia aliyesilimu na kisha kutarjumi Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kirussia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Habari ID: 3472116 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/05
TEHRAN (IQNA) - Vyuo vikuu vya umma nchini Indonesia vimetangaza kuwa vijana waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu wanaweza kuingia katika vyuo vikuu pasina kufanya mtihani wa kawaida unaohitajika kuingia chuo kikuu.
Habari ID: 3472032 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/04
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Uturuki yamemalizika kwa kutunukwia zawadi washindi.
Habari ID: 3471975 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/28
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Dubai wametangazwa Jumapili usiku baada ya kuchuana kwa muda wa siku 12.
Habari ID: 3471965 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/20
TEHRAN (IQNA) – Maonyesho ya 27 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Tehran mwaka huu yana mipango 126 ya ubunifu katika sekta ya Qur’ani na hivyo kuyafanya yawe ya kipekee.
Habari ID: 3471954 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislaamu amesisitiza kuwa: " Chanzo cha izza inayoongezeka na ustawi wa hali ya juu wa taifa la Iran katika kipindi cha miaka 40 iliyopita ni kutekeleza mafundisho ya Qur'ani Tukufu hasa kuhusu kusimama kidete na leo pia njia pekee ya kupata ushindi dhidi ya mashetani na makafiri ni kusimama kidete."
Habari ID: 3471945 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/07
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa la miujiza ya Qur'ani Tukufu limefanyika hivi karibuni katika mji mkuu wa Iraq, Baghadad.
Habari ID: 3471845 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/18
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Sudan imeanza mradi wa kitaifa wa kukarabati nakala za kale za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471844 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/17
TEHRAN (IQNA)- Ajuza mwenye umri wa miaka 75 nchini Saudi Arabia amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471820 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/27
TEHRAN (IQNA)- Akademia ya Uislamu katika Sayansi na Jamii ya Chuo Kikuu cha Goethe nchini Ujerumani imetenga bajeti ya Euro milioni 2.7 katika mradi wa kufanya utafiti kuhusu Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471788 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/27
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15
TEHRAN (IQNA)- Awamu ya 20 ya Wiki ya Qur'ani Tukufu nchini Algeria imefanyika huku kukitolewa wito wa kuhakikisha watoto wanajifunza Qur'ani.
Habari ID: 3471763 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/07
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imesambazwa nakala 5,000 za Qur'ani Tukufu iliyotarujumiwa kwa lugha ya Kichewa nchini Malawi.
Habari ID: 3471759 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/03