Qur'ani Tukufu nchini Misri
TEHRAN (IQNA)- Idara Kuu ya Masuala ya Qur'ani ya Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar ilitangaza kuanza kwa shughuli za vikao vya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya walimu na waliohifadhi Qur'ani wa vituo vyenye uhusiano na kituo hiki kote Misri.
Habari ID: 3475665 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22
u
TEHRAN (IQNA)- Shule ya mtandaoni ya kufundisha Qur'ani Tukufu na lugha ya Kiarabu kwa raia wa Algeria wanaoishi katika nchi mbalimbali za dunia ilizinduliwa kwa idhini ya Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hii.
Habari ID: 3475664 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/22
Kuvunjiwa heshima Uislamu
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje wa Uswidi (Sweden) Jan Eliasson ametoa wito wa kukomesha uchomaji moto wa Qur'ani Tukufu unaofanywa na wafuasi sugu wa siasa kali za mrengo wa kulia, akibainisha kuwa kitendo kama hicho ni sawa na uhalifu chini ya sheria za Uswidi.
Habari ID: 3475647 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/19
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua vikao maalumu Qur'ani kwa wanawake katika majimbo manne ya nchi hiyo kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3475641 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/18
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Usalama ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya jamii na kitendo chochote kinachovuruga kipengele hiki kinachukuliwa kuwa ni dhambi ya kijamii.
Habari ID: 3475639 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17
Kuhifadhi Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Ilimchukua msichana wa Kipalestina mwezi mmoja tu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu katika hatua amabyo imetajwa kuwa ni ya aina yake.
Habari ID: 3475635 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/17
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Ufisadi katika nyanja yoyote husababisha kudhoofisha misingi. Jamii iliyoathiriwa na ufisadi itaona matatizo mbalimbali katika ngazi ya mtu binafsi, familia na kijamii. Kwa hiyo, jamii yoyote salama hujitahidi kupambana na ufisadi na kuuzuia.
Habari ID: 3475633 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/16
Kuamurisha mema na kukataza maovu
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Fiqh ya Kiislamu, baadhi ya masharti yanatakiwa kutekelezwa linapokuja suala la kutekeleza agizo la Qur’ani la kuwakataza wengine kufanya maovu.
Habari ID: 3475628 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Kuwait yataandaliwa tena mwaka huu baada ya kusitishwa kwa muda wa miaka mitatu.
Habari ID: 3475624 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.
Habari ID: 3475617 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/13
Haraakti za Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho yanayohusiana na sekta ya uchapishaji Qur’ani Tukufu yamefanyika katika mji wa Asir nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475614 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12
Waliowachache
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa Pakistan wa Masuala ya Kidini na Upatanifu wa Dini Mbalimbali amesisitiza kwamba Qur’ani Tukufu iliteremshwa kwa ajili ya wanadamu wote, si kwa ajili ya Waislamu pekee.
Habari ID: 3475613 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12
Ibada
TEHRAN (IQNA) – Sala ni moja ya nguzo za Uislamu na Waislamu wanaamini kuwa ibada hii ni daraja linalowaunganisha na Mwenyezi Mungu SWT. Kwa hivyo, Sala ni muhimu sana kwa kila Muislamu.
Habari ID: 3475610 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11
Chuki dhidi ya Uislamu
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
Habari ID: 3475593 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/08
Sura za Qur'ani Tukufu /23
TEHRAN (IQNA) – Surah Al-Mu’minun ni sura ya Makki ya Qur’ani Tukufu inayoeleza sifa za waumini wa kweli.
Habari ID: 3475575 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/03
Tafakari
TEHRAN (IQNA) – Kwa mtazamo wa Qur’ani Tukufu, wanadamu ni bora kuliko viumbe wengine kutokana na akili na hekima zao na ni kwa ajili ya sifa hii, miongoni mwa nyinginezo, ambapo mwanadamu amechaguliwa kuwa khalifa wa Mwenyezi Mungu duniani.
Habari ID: 3475570 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Hafla imefanyika Silopi, mkoa wa Sirnak, kusini mashariki mwa Uturuki, kuzindua shule ya kufundisha vijana kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3475564 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/31
TEHRAN (IQNA) - Duru ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya wawakilishi wa Haram Takatifu zilizo katika maeneo mbali mbali imekamikila Jumanne, huko Karbala nchini Iraq.
Habari ID: 3475549 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi wa shule katika nchi 52 hadi sasa wamenufaika kutokana na shughuli za jumuiya ya Qur’ani ya Kuwait ambayo inatoa misaada ya kimaisha na huduma za Qur’ani katika sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475546 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
Shakhsia katika Qur'ani/2
TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu, Hawa ni Mama wa ubinadamu ambaye asili ya kuwepo kwake ni sawa na ile ya Nabii Adam (AS).
Habari ID: 3475544 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/26