TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel wamemuua Mpalestina aliyekuwa katika maandamani ya amani ya kupinda ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474342 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25
TEHRAN (IQNA)- Kijana Mpalestina ameuawa shahidi Ijumaa baada ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wamejitokeza katika maandamano ya amani kupinga ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473998 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12
TEHRAN (IQNA)- Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza wameandaa khitma kwa mnasaba wa kuwadia mwaka moja tokea auawe shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3473528 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/05
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, Shahidi Qassem Soleimani, na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
Habari ID: 3473523 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/04
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kitaalamu la "Vyombo vya Habari na Njia ya Fikra ya Suleimani" lililofanyika leo katika Ukumbi wa Makongamano ya Kimataifa wa IRIB hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3473520 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03
TEHRAN (IQNA) - kitabu cha maisha ya Shahidi Qassem Soleimani, alichoandika yeye mwenyewe kiitwacho "Nilikuwa Sihofu Chochote" kimezinduliwa leo.
Habari ID: 3473519 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/03
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amekwenda katika Msikiti wa Imam Husain AS hapa Tehran na kuusomea Faatiha mwili mtoharifu wa shahid Mohsen Hojaji, aliyeuliwa shahidi na magaidi wa Daesh au ISIS wakati akilinda Haram ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Bibi Zaynab al Kubra AS nchini Syria.
Habari ID: 3471195 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/27
TEHRAN (IQNA)-Wapalestina watatu wamepigwa risasi na kuuawa katika oparesheni dhidi ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds.
Habari ID: 3471066 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/14
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02
IQNA- Siku kama ya leo mwaka moja uliopita, utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ulimuua kikatili mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu Sheikh Nimr Baqir al Nimr.
Habari ID: 3470774 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
Tuko katika siku hizi za kuomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein AS ambaye ni mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW.
Habari ID: 3470608 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/12
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana Mpalestina.
Habari ID: 3470549 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/05
Sayyid Hassan Nasrullah
Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, moyo wa kutaka shahada na kuuawa shahidi daima ni silaha imara zaidi mbele ya adui.
Habari ID: 3447507 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/12
Jeshi la Israel limewaua shahidi Wapalestina wapatao 46 tangu kuanza Intifadha au mwamko mpya mapema mwezi huu wa Oktoba.
Habari ID: 3390450 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/19
Rais wa Iran na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wametoa ujumbe tofauti kufuatia kuuawa shahidi Brigedia Jenerali Hussein Hamedani katika vita dhidi ya magaidi na kutoa mkono wa pole kwa wananchi wa Iran.
Habari ID: 3383361 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09
Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kamanda wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC amesema mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni yataendelea hadi Quds Tukufu ikombolewe.
Habari ID: 2743221 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/22