shahidi - Ukurasa 7

IQNA

Muqawama
IQNA - Sherehe ilifanyika katika mji wa Ta'iz, Yemen, kuadhimisha kuhitimu kwa wanafunzi 721 wa Qur'ani.
Habari ID: 3479232   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/05

Muqawama
IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, majibu makali na ya kiakili ya Jamhuri ya Kiislamu kwa utawala unaofanya mauaji ya kimbari wa Israel kuhusiana na mauaji ya shahidi Ismail Haniya yataleta furaha kwa watu wa Iran na vikosi vya muqawama na wapiganiia uhuru wa dunia.
Habari ID: 3479229   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04

Muqawama
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa taarifa nambari tatu inayoeleza na kubainisha jinsi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, alivyouawa hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3479225   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03

Muqawama
IQNA-Utawala wa Kizayuni wa Israel umemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al-Aqsa kwa kutuma salamu za rambirambi kutokana na mauaji yaliyofanywa na utawala huo dhalimu dhidi ya Shahidi Ismail Haniya.
Habari ID: 3479223   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03

Muqawama
IQNA- Maelfu ya watu wamekusanyika Ijumaa katika msikiti mmoja huko Doha kutoa heshima zao kwa kiongozi wa kisiasa wa Hamas, shahidi Ismail Haniya..
Habari ID: 3479218   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03

Muqawama
IQNA - Mufti Mkuu wa Oman amelaani mauaji ya utawala wa Israel dhidi ya Ismail Haniya, mkuu wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Hamas.
Habari ID: 3479217   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

IQNA - Makumi ya maelfu ya watu walihudhuria msafaraa mazishi ya Shahidi Ismail Haniya mjini Tehran tarehe 1 Agosti 2024.
Habari ID: 3479213   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA-Shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) alikuwa mwanamapambano ambaye alijitolea maisha yake yote katika kuendesha mapambano dhidi ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3479212   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA- Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, katika kipindi cha miaka yote hii, wakuu wa Kambi ya Muqawama wamethibitisha kwamba, jinai zinazofanywa na maadui haziwatetereshi hata kidogo, bali zinaongeza tu ari na moyo wao wa Jihadi na Muqawama.
Habari ID: 3479211   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Muqawama
IQNA-Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, katika kambi ya muqawama, wakuu na makamanda wa kambi hiyo hawajifichi bali wako katikati ya medani ya mapambano na wanakufa shahidi kwenye medani hiyo.
Habari ID: 3479210   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02

Taazia
IQNA-Mapema leo Alkhamisi asubuhi, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesalisha umati mkubwa wa Waislamu waliojitokeza katika Sala ya Maiti ya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Ismail Haniya na mlinzi wake. Sala hiyo ya Maiti imesaliwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Tehran.
Habari ID: 3479209   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/01

Kadhia ya Palestina
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Masoud Pezeshkian amesisitiza kuwa, Iran itawafanya magaidi maghasibu kujutia kitendo chao cha uoga cha kumuua kiongozi wa Hamas Ismail Haniya.
Habari ID: 3479208   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu baada ya kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Tawi la Kisiasa la HAMAS akisisitiza kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umejiandalia uwanja wa kuadhibiwa vikali.
Habari ID: 3479207   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

Taarifa
IQNA-Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ametoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Ismail Haniya Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) na kueleza kwamba, hapana shaka kuwa, damu ya mujahidi huyo haitapotea bure.
Habari ID: 3479206   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/31

IQNA - Katika hali ya kuanza kwa mwezi wa Hijri wa Muharram, Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Tanzania wameanza kuandaa ibada za maombolezo ya kuadhimisha kuuawa shahidi Imam Hussein (AS).
Habari ID: 3479096   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/09

IQNA - Warsha ya kuandaa kaburi (haram) la Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, imekuwa ikiendelea kwa kutayarisha bendera nyeusi na mabango kabla ya mwezi wa Hijri wa Muharam.
Habari ID: 3479081   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/06

Qur'ani Tukufu Inasemaje/43
TEHRAN (IQNA) – Kuwa hai lakini kukosa matumaini, kutoridhika samamba na kuwa na machungu hakupendelewi na mtu yeyote. Kwa maneno mengine, maisha haimaanishi kuwa hai tu bali yanapaswa kuwa na furaha na kuridhika. Na Qur’ani Tukufu inazungumza kuhusu wale ambao hawafi kamwe.
Habari ID: 3476373   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/08

TEHRAN (IQNA)-Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema maadui wa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi na kumuua shahidi mmoja kati ya askari wa IRGC.
Habari ID: 3475283   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), ndiye shakhsia mkubwa zaidi si tu ndani ya Iran, bali katika Umma wote wa Kiislamu.
Habari ID: 3474753   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

TEHRAN (IQNA)- Ikiwa imesalia siku chache kabla ya kumbukumbu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Solemani, mchoro mkubwa wa kamanda huyo na wanajihadi wenzake waliouawa shahidi umepandisha katika barabara kuu inayolekea uwanja wa ndege wa Beirut nchini Lebanon.
Habari ID: 3474725   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/26