IQNA — Wakati mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran yakiendelea, Mufti Mkuu wa Libya ametangaza kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482017 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/06
IQNA-Naibu Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuwa hujuma ya kijeshi yaliyotumika na Marekani na Israel dhidi ya Iran inakiuka Kanuni za Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3482015 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/05
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika ujumbe wake kwa viongozi wa nchi rafiki na majirani kwamba mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel yameiacha Iran bila chaguo lolote isipokuwa kujilinda.
Habari ID: 3482014 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/05
IQNA – Kiongozi Mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq, Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani, amekemea kwa nguvu hujuma ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran, ambayo ilianza Jumamosi na hadi sasa imesababisha mamia kufa shahidi, wakiwemo watoto.
Habari ID: 3482013 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/04
IQNA– Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuuawa shahidi Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3482012 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/04
IQNA – Watu walifanya maandamano katika maeneo mbalimbali ya Bahrain, wakionyesha mshikamano wao na Iran na kutaka kulipiza kisasi kwa mauaji ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ayatullah Seyed Ali Khamenei (Mwenyezi Mungu Amrehemu).
Habari ID: 3482011 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/03
IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Misri amempongeza Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, na kusisitiza kwamba njia yake lazima iendelezwe na Umma ya Waislamu.
Habari ID: 3482010 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/03
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji’un.
IQNA-Kufuatia shambulio la kikatili la utawala wa Kizayuni na Marekani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameuawa shahidi.
Habari ID: 3482006 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/01
IQNA –Mazishi ya Shahidi Haytham Ali Tabatabai, kamanda mwandamizi wa Hizbullah, pamoja na wapiganaji wengine wa muqawama waliouawa, yamefanyika Jumatatu katika kitongoji cha Beirut.
Habari ID: 3481567 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/25
IQNA – Hafla maalum ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa viongozi wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imepangwa kufanyika wiki hii katika haram tukufu ya Hazrat Masoumeh (SA) huko Qom.
Habari ID: 3481307 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/30
IQNA – Harakati ya Muqawama au Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imetangaza ratiba ya shughuli za kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi kwa viongozi wake mashuhuri, Sayyid Hassan Nasrallah na Sayyid Hashem Safieddine.
Habari ID: 3481249 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/17
IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemsifu Shahidi Rais Ebrahim Raisi kama mtumishi wa umma aliyejitolea, ambaye unyenyekevu wake na kujituma bila kuchoka kwa ajili ya watu vilimtofautisha na wengine.
Habari ID: 3480714 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/20
IQNA – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (Muqawama) ya Palestina Hamas ililaani mauaji ya Salah al-Badrawil yaliyofanywa na utawala katili wa Israel, ikisisitiza kuwa kwa kila shahidi, mwenge wa Muqawama unazidi kuwa mkali.
Habari ID: 3480421 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23
IQNA – Mazishi ya Shahidi Sayed Hassan Nasrallah si tukio la kupita tu, bali ni ushahidi kwamba mashujaa hawafi bali wanakuwa wahusika wa kudumu na kuishi katika kumbukumbu za watu.
Habari ID: 3480257 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/23
Muqawama
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu na ujumbe maalumu kwa mnasaba wa kufanyika mazishi na maziko ya Mwanajihadi mkubwa Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah na Shahidi Sayyid Hashem Safiyyuddin na kusisitiza kuwa: "adui ajue kwamba, Muqawama wa kukabiliana na ughasibu, dhulma na uistikbari si wa kumalizika; na kwa idhini ya Allah utaendelea hadi ufikie lengo ulilokusudia".
Habari ID: 3480256 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/23
IQNA – Wageni rasmi na wasio rasmi kutoka nchi mbalimbali wamewasili katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa katibu mkuu wa Hizbullah, Sayed Hassan Nasrallah.
Habari ID: 3480255 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/22
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amezungumzia mazishi yajayo ya shahidi Sayyid Hassan Nasrallah na kusema: alikuwa mtu mwenye heshima na aliuletea umma wa Kiislamu heshima. Alikuwa shakhsia mashuhuri ambaye alikuwa nafasi muhimu katika kuondoa migogoro na kuimarisha mshikamano katika umma wa Kiislamu
Habari ID: 3480250 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21
IQNA – Hizbullah imepanga kufanya mazishi ya Katibu Mkuu wake , Hizbullah Sayed Hassan Nasrullah, pamoja na Mkuu wa Baraza lake la Utendaji, Shahidi Hashem Safiyyuddin, Februari 23, 2025.
Habari ID: 3480151 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/03
Muqawama
IQNA-Rais Massoud Pezeshkian amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na njia iliyoanzishwa na kamanda shujaa wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kwa nguvu zake zote huku akisema Shahidi Soleimani hakujali mchana wala usiku popote alipohitajika kuwatetea wanyonge/
Habari ID: 3479995 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Muqawama
IQNA - Tarehe itatangazwa hivi karibuni kwa ajili ya mazishi ya marehemu kiongozi wa Hizbullah Shahidi Sayed Hassan Nasrallah, mbunge wa Lebanon alisema.
Habari ID: 3479816 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/27