shahidi - Ukurasa 6

IQNA

Kufa Shahidi Katika Qur'ani / 4
IQNA – Kwa mujibu wa Hadithi za Mtukufu Mtume Muhammad (SAW), iwapo mtu atauawa au kufa katika njia ya kutekeleza majukumu aliyopewa na Mwenyezi Mungu, anahesabiwa kuwa ni shahidi.
Habari ID: 3479808   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/25

Kufa Shahidi Katika Qur'ani/3
IQNA – Kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu, kufa kishahidi ni muamala wa kibiasharakati ya mtu na Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3479797   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/23

Kufa Shahidi Katika Qur'ani/1
IQNA – Qur’ani Tukufu inasisitiza kwamba kifo cha kishahidi ni hadhi iliyotukuka na inaorodhesha fadhila nyingi kwa mashahidi.
Habari ID: 3479782   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/20

Muqawama
IQNA-Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu wa Iran, amesema kwamba Shahidi Hassan Nasrallah alikuwa shakhsia mwenye kutafakari na kuchambua mambo ipasavyo na kuongeza kuwa: Shahidi huyu wa ngazi ya juu alikuwa ni mchanganyiko adimu wa uwezo wa fikra na kutenda."
Habari ID: 3479724   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09

Muqawam
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa pongezi kwa mashahidi wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kusema kwamba wameleta heshima katika kambi ya muqawama.
Habari ID: 3479715   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/07

Muqawama
IQNA - Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amefafanua jinsi kiongozi wa harakati hiyo aliyeuawa shahidi, Yahya Sinwar, alivyowaheshimu sana wahifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3479695   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/03

Muqawama
IQNA - Katibu Mkuu mpya wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuendelea kwa mapambano ya kuvuruga njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo zima la Asia Magharibu na kusema kuwa Mapambano ya Kiislamu (muqawama) Gaza na Lebanon ni kielelezo cha adhama ambacho kitajenga mustakbali wa eneo hilo.
Habari ID: 3479674   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/31

Muqawama
IQNA-Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kuthibitisha kuuawa shahidi Mkuu wake wa Baraza la Utendaji katika shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni kwenye kitongoji Adh-Dhaahiyah Kusini katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut.
Habari ID: 3479639   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/24

Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Kufuatia operesheni ya makombora ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel kwa ajili ya kujibu jinai za hivi karibuni za utawala huo wa Kizayuni, makundi ya Muqawama yameeleza rasmi uungaji mkono wake kwa Iran.
Habari ID: 3479520   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01

Muqawama
IQNA - Vyanzo vya habari nchini Lebanon vimethibitisha kuuawa shahidi Sheikh Nabil Qaouk, mjumbe wa baraza kuu la harakati ya Hizbullah na msaidizi wa karibu wa Sayed Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa harakati hiyo.
Habari ID: 3479515   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30

Muqawama na Qur'ani
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imesema subira na ustahimilivu wa watu wa Gaza dhidi ya uhasama wa Israel unatokana na mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479257   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10

IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Ijumaa iliandaa hafla ya Khitma ya Shahidi Ismail Haniya, kiongozi wa kisiasa wa Hamas ambaye aliuawa katika hujuma ya kigaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel jijini Tehran hivi karibuni. Khitma hiyo iimefanyika katika Ukumbi wa Swala (Mosalla) wa Imam Khomeini (RA) mjini Tehran baada ya Swala za Maghribi na Ishaa,
Habari ID: 3479254   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/10

Muqawama
IQNA – Utawala dhalimu wa Israel umetangaza marufuku ya miezi sita kwa Sheikh Ekrema Sabri, Imamu wa Msikiti wa Al-Aqsa ambapo katika muda huo atazuiwa kuingia katika msikiti huo mtakatifu ulio katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479248   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09

Muqawama
IQNA-Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na hayati Ismail Haniya.
Habari ID: 3479247   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08

Kadhia ya Palestina
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeamua kuitisha kikao dha dharura mjini Jeddah, Saudi Arabia wakati huu ambapo Iran na kambi ya muqawama inajiandaa kutoa majibu makali kwa Israel kutokana na vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479245   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08

Shahidi Haniya
IQNA - Jumuiya ya Qur'ani ya Iran imeaandaa khitma ya Qur'ani ya ya mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Hamas aliyeuawa shahidi.
Habari ID: 3479243   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/08

Muqawama
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imemteua Yahya Sinwar kuwa Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo ya muqawama, kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Ismail Haniyah.
Habari ID: 3479240   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07

Muqawama
IQNA Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayed Hassan Nasrallah amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaiomba Marekani kuulinda kwani mashambulizi ya Iran na Hizbullah ya kulipiza kisasi mauaji ya hivi karibuni ya utawala huo yanakaribia.
Habari ID: 3479239   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/07

Kadhia ya Palestina
IQNA - Vikosi vya usalama vya Saudi Arabia vimeripotiwa kumkamata profesa wa chuo kikuu kimoja cha Iraq katika mji mtakatifu wa Makka kwa kosa la kutoa kumuomboea dua kiongozi wa Palestina Ismail Haniya aliyeuawa shahidi wiki iliyopita katika hujuma ya kigaidi ya Israel
Habari ID: 3479234   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/06

Kadhia ya Palestina
IQNA-Nasser Kan'ani, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran, ametoa wito kwa serikali za Kiislamu kuunga mkono haki za Wapalestina kwa ufanisi zaidi.
Habari ID: 3479233   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/05