Fikra
IQNA - Wamagharibi wameanza kutambua upotevu wa maadili ya kiroho katika miongo kadhaa iliyopita, na kuwafanya kuanza kurejea katika mizizi yao kitamaduni, amesema mhadhiri mkuu katika Chuo cha Kiislamu cha London.
Habari ID: 3479194 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27
Jamii
IQNA – Warsha ya kimataifa ya mtandaoni inayoangazia changamoto ambazo usasa unaleta katika familia imeandaliwa na Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA).
Habari ID: 3479188 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/26
Warsha
TEHRAN (IQNA) – Semina ya mtandaoni ilifanyika nchini Kenya hivi karibuni ili kujadili hali ya kisheria ya wanawake katika familia na jamii kwa mtazamo wa Qur'ani Tukufu na dini zingine.
Habari ID: 3477074 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31
Mwanaharakati wa Nigeria
TEHRAN (IQNA) - Mwanaharakati wa Nigeria anasema Mapinduzi ya Kiislamu yakiongozwa na Imam Khomeini-Mwenyezi Mungu Amrehemu- yaliwakomboa watu waliokuwa wamekandamizwa na madola ya kibeberu ya Magharibi na kambi ya Kikomunisti.
Habari ID: 3476531 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/08
Mwaka wa 44 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Warsha ya kimataifa inatazamiwa kufanyika siku ya Jumatano kwa njia ya intaneti kwa lengo la kujadili Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3476527 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/07
Kumbukizi ya Shahidi Soleimani
TEHRAN (IQNA) – Mwanachama mwandamizi wa harakati ya muqawama au mapambano ya Palestina, Jihad Islami, amesema shahidi Qassem Soleimani aliweza kutoa motisha kwa wapiganaji wote wa harakati za mapamano.
Habari ID: 3476351 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/03
Sekta ya Halal
TEHRAN (IQNA)- Warsha na maonyesho ya kimataifa kuhusu tasnia ya Halal itafanyika nchini Nigeria mwezi ujao.
Habari ID: 3475548 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/27
TEHRAN (IQNA)- Warsh ya kujadili 'Hali ya Qiraa na Tajwid ya Qur'ani Tukufu Barani Afrika' imepangwa kufanyika wiki ijayo kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474600 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW, tawi la Senegal, kimepanga warsha maalumu ya misingi ya tajweed na usomaji Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470482 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29
Warsha ya kielimu kuhusu ‘Miujiza ya Kisayansi katika Qur’ani’ imefanyikanchini Misri katika Chuo Kikuu cha Tanta mkoani Gharbia.
Habari ID: 3454189 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18