TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika eneo moja la jimbo la California nchini Marekani hatimaye wamepata idhini ya kujenga msikiti baada ya mapambanao ya miaka 13.
Habari ID: 3472294 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
TEHRAN (IQNA) – Mwendesha Mashtaka Mkuu katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema ataanzisha uchunguzi kamili kuhusu jinai za kivita za utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3472293 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
TEHRAN (IQNA) – Wanasayansi Waislamu na wanaharakati wametakiwa kujitokeza wazi katika matukio ya kimataifa kwa lengo la kuutetea Uislamu.
Habari ID: 3472292 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/21
TEHRAN (IQNA) - Watu wengine nane wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kupinga sheria iliyo dhidi ya Waislamu nchini India, huku taasisi za kimataifa, nchi na shakhsia mbalimbali duniani wakiendelea kukosoa hatua ya kupasishwa sheria hiyo tata.
Habari ID: 3472291 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/20
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Misri, Cairo na mji wa kale wa Bukhara nchini Uzbekistan imetangazwa kuwa miji mikuu ya utamaduni katika ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2020.
Habari ID: 3472288 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/20
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ulimwengu wa Kiislamu una changamoto nyingi kitaifa na kimataifa na kusisitiza kuwa, nchi za Kiislamu zinapaswa kuwa na tadibiri na mikakati madhubuti ya kuachana na ubeberu wa sarafu ya dola wa kutegemea mfumo wa kifedha wa Marekani.
Habari ID: 3472287 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/19
TEHRAN (IQNA) – Viongozi wa nchi muhimu za Kiislamu wamekutana Kuala Lumpur, Malaysia kujadili masuala muhimu ya Uliwmengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3472286 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/18
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW kimetoa taarifa na kulaani kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu kuendelea kushikiliwa kinyume cha sheria kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) Sheikh Ibrahim al-Zakzaky na mke wake, pamoja na kuwa hali yao ya kiafya imezorota.
Habari ID: 3472285 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sera za kueleka mashariki na kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na nchi muhimu za bara Asia ni miongoni mwa malengo ya siku zote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3472284 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu nchini Misri imetangaza kuwafuta kazi maimamu na wahubiri saba ambao wametuhumiwa kujiunga na 'makundi ya kigaidi'.
Habari ID: 3472283 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/17
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya Waislamu wa Uingereza wameanza kujitayarisha kuondoka nchini humo wakihofia usalama wao baada ya uchaguzi ambao unamuandalia njia Boris Johnson kuendelea kuwa waziri mkuu wa nchi hiyo kwa muda miaka mitano.
Habari ID: 3472282 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/16
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa Saba wa Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu (OIC) umefanyika wiki hii katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3472281 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/16
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemteua Hujjatul Islam Hamid Shahriyari kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu.
Habari ID: 3472280 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/15
Katika mahojiano na IQNA
TEHRAN (IQNA) – Suhaila Zakzaky, bintiye Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria (IMN) ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuishinikiza serikali ya Nigeria kumuachilia huru mwanazuoni huyo wa Kiislamu.
Habari ID: 3472279 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/15
TEHRAN (IQNA) – Watu wasiopungua sita wameuawa India baada ya kupigwa risasi na polisi katika aandamano ya kupinga muswada wa uraia nchini India na ambao uko dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3472278 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/15
TEHRAN (IQNA) – Kitivo cha Qur'ani Tukufu kimefunguliwa katika Chuo Kikuu cha Al Qasimia huko Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3472277 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14
TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Awamu ya 17 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tunisia wametangazwa katika sherehe iliyofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3472276 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14
Kiongozi wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Marekani inafanya juu chini kutaka kuonesha kuwa Hizbullah ni tishio kwa Lebanon, na kwamba njama zote hizo zinafanyika kwa ajili ya kupigania maslahi yake na ya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3472275 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel kukamata wanachama wake katika eneo inalolikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472274 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/13
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa jamii ya Rohingya wameitaka jamii ya kimataifa isikubali matamshi ya Aung San Suu Kyi, kiongozi wa chama tawala nchini Myanmar cha National League for Democracy ambaye pia ndiye Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo aliyoyatoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu ICJ.
Habari ID: 3472273 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/13