makka - Ukurasa 8

IQNA

Wafanyaziara wasiopungua 107 wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na kreni au winchi katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia.
Habari ID: 3361271   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/11

Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04

Duru ya 36 ya Mashindano ya Kimatiafa ya Hifdhi, Qiraa na Tafsiri ya Qur’ani Tukufu yameanza leo Novemba 15 katika Msikitu Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) , Saudi Arabia.
Habari ID: 1473482   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/15

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Bangladesh Abdul Latif Siddique amefukuzwa kazi kwa kuvunjia heshima ibada ya Hija na Mtume Muhammad (saw).
Habari ID: 1456641   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03