Walowezi wa Kizayuni
TEHRAN (IQNA) – Mtoto wa Kipalestina alifariki dunia masaa mawili baada ya kupigwa risasi na walowezi wa utawala wa Kizayuni wa Israel waliokuwa na silaha siku ya Ijumaa karibu na kijiji cha Al-Mughayer, karibu na Ramallah katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475558 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/30
TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Kizayuni wa Israel umezindua mpango haramu wa kujenga nyumba mpya zipatazo elfu nne katika eneo la Ukingo wa Magharibi, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3475219 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
TEHRAN (IQNA)- Walowezi wa Kizayuni watenda jinai wameng'oa miembe 400 ya Wapalestina katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel katika Ukingo wa Magharibu wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474838 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22
TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umeidhinisha ujenzi haramu wa nyumba 3000 za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zilizoghusubiwa na kukoloniwa na utawala huo katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem)
Habari ID: 3474597 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Walowezi za Kizayuni wameendeleza hujuma zao dhidi ya msikiti wa Al Aqsa katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474499 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jordan imelaani hujuma za mara kwa mara za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474353 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala dhalimu wa Israel wamemuua Mpalestina aliyekuwa katika maandamani ya amani ya kupinda ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3474342 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25
TEHRAN (IQNA) - Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na Israel, na kuuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3474305 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17
TEHRAN (IQNA)-Kumekuwa na ongezeko la asilimia 60 ya idadi ya walowezi wa Kizayuni wanaouhujumi uwanja wa Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474225 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Kizayuni wa Israel usitishe hatua zake zilizoratibiwa na kubomoa nyumba za Wapalestina.
Habari ID: 3473686 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/26
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeongeza maradufu kasi ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi ulizowapora Wapalestina hatua ambayo itaibua msuguano na serikali mpya ijayo ya Marekani.
Habari ID: 3473545 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/11
TEHRAN (IQNA) – Mufti wa Quds (Jerusalem) amelaani vikali hatua ya Walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa mjini humo na kuweka nembo ya Kiyahudi ya Menorah katika msikiti huo.
Habari ID: 3473464 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kauli aliyotoa waziri wa biashara, viwanda na utalii wa Bahrain kuhusu azma ya nchi yake ya kununua bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kwenye Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473421 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04
TEHRAN (IQNA) – Makumi ya walowezi wa Kizayuni siku ya Alhamisi waliuhujumu uwanja wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) wakiwa wanalindwa na askari wa utawala haramu wa Israel ambapo wametekeleza ibada za Kiyahudi katika eneo hilo takatifu la Waislamu.
Habari ID: 3473265 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/16
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni umeamua kujenga maelfu ya nyumba za walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina unazoendelea kupora huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473235 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/06
TEHRAN (IQNA) -Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) ichukue hatua za haraka za kuchunguza jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hasa kitendo cha utawala huo kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3473024 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/02
TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetangaza orodha ya mashirika ambayo yanashirikiana na utawala wa Israel katika kujenga vitongoji haramu katika ardhi za Palestina huko Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3472468 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/13
TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14
IQNA- Ijumaa katika usiku wenye baridi kali mjini New York, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilipasisha azimio nambari 2334 linaloitaka Israel isitishe mara moja ujenzi huo katika ardhi zilizoghusubiwa za Palestina.
Habari ID: 3470758 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/24