TEHRAN (IQNA)- Bidhaa ‘Halal’ na hasa vyakula vinazidi kupata umaarufu nchini Russsia, nchi kubwa zaidi duniani.
Habari ID: 3474951 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/20
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaandaa ramani ya njia ya ushirkiano na nchi zingine kwa kuzingatia maslahi yake ya taifa.
Habari ID: 3474832 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mbele ya Waislamu wa Msikiti Mkuu wa Moscow, mji mkuu wa Russia kwamba, Misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu ardhini na inamlea vizuri Muislamu na jamii yake.
Habari ID: 3474831 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ushirikiano kati ya Iran na Russia unajenga amani na usalama na utazuia sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja katika kanda hii.
Habari ID: 3474825 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19
TEHRAN (IQNA)- Rais Vladimir Putin wa Russia amewakosoa vikali wanaomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na kusema kitendo kama hicho cha kutusi matukufu ya wengine hakiwezi kuhalalishwa kwa kisingizo cha uhuru wa maoni.
Habari ID: 3474718 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24
TEHRAN (IQNA)- Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan katika Shirikisho la Russia, Marat Khusnullin, ameidhinisha mpango wa kusherehekea mwaka wa 1,100 tokea Uislamu uingie eneo hilo.
Habari ID: 3474682 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16
Rais Vladimir Puton wa Russia amesema harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ina nafasi muhimu katika uga wa kisiasa nchini Lebanon.
Habari ID: 3474455 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/22
TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amefanya safari ya ghafla nchini Russia na kukutana na kufanya mazungmzo na Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo katika Ikulu ya Kremlin.
Habari ID: 3474296 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15
Mtukio ya hivi karibuni Afghanistan
TEHRAN (IQNA)- Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanyika nchini Marekani yanaonesha kuwa, asilimia 69 ya watu wa nchi hiyo wanaamini kuwa nchi yao imefeli na kushindwa kutimiza malengo yake huko Afganistan.
Habari ID: 3474253 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/03
TEHRAN (IQNA) - Mkutano mkubwa wa kiuchumi kati ya Russia na nchi za Kiislamu maarufu kama Mkutano wa Kazan 2021 ulimalizika Ijumaa katika mji mkuu wa jamhuri ya Tatarstan katika Shirikisho la Russia
Habari ID: 3474145 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31
TEHRAN (IQNA)- Kwa mujibu wa taarifa, Putin ameyasema hayo alipohutubu kwa njia ya video katika mjumuiko wa Siku ya Kitaifa ya Russia.
Habari ID: 3473334 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06
TEHRAN (IQNA) – Elizaveta, bintiye msemaji wa Rais wa Russia Dmitry Peskov ametangaza kuwa atafunga saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472697 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/24
TEHRAN (IQNA) – Baraza la Maulamaa Russia limetangaza Fatwa mpya inayowataka Waislamu waswali katika majumba yao katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani katika mwaka huu wa 1441 Hijria Qamaria ili kuzuia kuenea zaidi ugonjwa ambukizi wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472647 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/09
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani yamefanyika katika mji mkuu wa Russia, Moscow katika tawi la Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW).
Habari ID: 3472409 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/27
TEHRAN (IQNA) – Timu ya watu 40 wakiwemo wakalimani na wanazuoni wa Uislamu wanatazamiwa kuanza kuandika tarjumi mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Ki russia .
Habari ID: 3472249 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/02
TEHRAN (IQNA) – Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa wito kwa kuwepo jitihada za pamoja baina ya Russia na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) katika kukabiliana na changamoto za kimataifa.
Habari ID: 3472241 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/29
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa watu wenye ulemavu wa macho kimefunguliwa nchini Russia katika eneo la Dagestan mapema wiki hii.
Habari ID: 3472138 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/19
TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa eneo la Chechnya katika Shirikisho la Russia Ijumaa wametangaza kufungua msikito ambao wameutaja kuwa mkubwa Zaidi barani Ulaya.
Habari ID: 3472097 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/24
Mufti Mkuu wa Russia
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wanatarajiwa kuongezeka na kufika asilimia 30 ya watu wote wa Russia ifikapo mwaka 2034 na hivyo kuna haja ya kujenga misikiti zaidi nchini humo.
Habari ID: 3471862 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/03/05
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia katika mji mkuu wa Russia, Moscow, umeanzisha mpango maalumu wa kusoma (qiraa) Qur'ani Tukufu kwa muda wa masaa 24 kila siku.
Habari ID: 3471815 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/22