iqna

IQNA

Harakati ya Qur'ani
IQNA - Raia wa Iran ambaye ni mlemavu wa macho ambaye ameihifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nzima kwa muda wa miaka miwili amesema kitabu hicho kitakatifu kimempa "amani ya ndani."
Habari ID: 3479898    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Harakati za Qur'ani
IQNA - Msomaji wa Qur'ani wa kike wa Iran anasema kuelewa na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani ndio ufunguo wa kuepuka dhambi.
Habari ID: 3479895    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Harakati za Qur'ani
IQNA – Binti Mu iran i aliyehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu amesema kwamba katika kujifunza Quran kwa moyo, talanta au kipaji  ni muhimu lakini muhimu zaidi ni uvumilivu na ustahamilivu.
Habari ID: 3479890    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran yalihitimisha sehemu zake za wanawake na wasichana chini ya umri wa miaka 18 kwa  sherehe huko Tabriz, zilizofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 9 Disemba.
Habari ID: 3479883    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

IQNA - Qari kijana ambaye anashiriki katika toleo la 47 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema mafanikio yake ya Qur'ani ni baraka kutoka kwa Allah (SWT).
Habari ID: 3479880    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

Diplomasia
IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imesisitiza kuwa, kuainishwa hatima na kufanya maamuzi kuhusu mustakbali wa Syria ni jukumu la pekee la wananchi wa nchi hiyo bila ya uingiliaji uharibifu wala kulazimishwa na mataifa ya kigeni.
Habari ID: 3479879    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur'ani wa kike amesema Qur'ani imemjengea subira na ustahimilivu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Habari ID: 3479877    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08

Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanamke Mu iran i aliyehifadhi Qur'ani Tukufu amesema mtu ambaye amekumbatia uzuri wa Qur'ani Tukufu hawezi kuvumilia kutengwa nayo.
Habari ID: 3479872    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

Diplomasia
IQNA – Hujjatul Islam Mohseni Qomi, Mkuu wa Masuala ya Kimataifa katika Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, alisifu misimamo ya Mufti Mkuu wa Russia kuhusu masuala ya kimataifa na kikanda.
Habari ID: 3479871    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

Umrah
IQNA - Wanafunzi wapatao 4,50 wa vyuo vikuu vya Iran wameteuliwa kupitia shindano ili kuweza kushiriki Hija ndogo ya Umra.
Habari ID: 3479855    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/04

Harakati za Qur'ani
IQNA – Hafidh wa Qur'ani ambaye pia ni mwanazuoni wa Kiislamu ametaja sifa nyingi ambazo anaamini ni muhimu kwa qari kuwa nazo kwa ajili ya usomaji wenye taathira.
Habari ID: 3479852    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/04

IQNA - Qari wa Iran anayetambulika kimataifa Saeed Parvizi alisoma aya za Qur'ani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3479851    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mji wa kaskazini-magharibi wa Tabriz ni mwenyeji wa hatua ya mwisho ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran, yaliyoanza kwa sherehe Jumatatu asubuhi.
Habari ID: 3479849    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Diplomasia
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.
Habari ID: 3479847    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Aragchi katika mkutano na Rais Assad
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3479844    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02

IQNA - Mkuu wa Shirika la Masuala ya Wakfu na Misaada Iran amesema uendelezaji wa maisha kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu ni lengo kuu la mashindano ya Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3479823    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/28

Muqawama
IQNA - Harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah imesema imepata ushindi dhidi ya utawala wa Kizayuni, na kuongeza kuwa adui Mzayuni alijidanganya na hivyo alishindwa kudhoofisha azma ya Hizbullah.
Habari ID: 3479821    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/28

IQNA - Programu ya usomaji wa Qur'ani ilifanyika kwenye sitaha ya meli ya kivita Jeshi la Waamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kusini mwa nchi.
Habari ID: 3479818    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/27

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maafisa wa Iran wamezindua mipango miwili mipya yenye lengo la kuhimiza kuhifadhi wa Qur'ani Tukufu miongoni mwa wanafunzi kote nchini.
Habari ID: 3479814    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Afisa mmoja wa Iran amesema mashindano ya kila mwaka ya kimataifa ya Qur'ani  ya Iran yana idadi kubwa zaidi ya washiriki kati ya matukio ya kimataifa ya Qur'ani katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3479791    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22