Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitizia wajibu wa kulelewa kizazi cha vijana wa Iran katika msingi wa kuwafanya wajitegemee na wapende kuwa na heshima ya kidini na kusimama imara kupambana na madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470287 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema madola ya Magharibi yakiongozwa na Marekani yanataka kulidhibiti eneo la Magharibi mwa Asia kupitia vita vikubwa na vipana dhidi ya mrengo wa Uislamu.
Habari ID: 3470283 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/01
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Saudia inaweka vizuizi ili Wa iran i wasishiriki katika ibada ya Hija ya mwaka huu.
Habari ID: 3470278 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/29
Mkutano wa 8 wa Kimataifa wa Mfumo wa Kifedha wa Kiislamu utafanyika wiki ijayo Tehran, mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470275 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/27
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa ustaarabu wa Kiislamu hauwezi kufikiwa bila ya kuwepo kigezo cha maendeleo cha Kiislamu.
Habari ID: 3470273 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/26
Kiongozi Muadhamu katika Mkutano na Rais wa Afrika Kusini
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi huru zinapaswa kushirikiana kadiri inavyowezekana licha ya kuweko njama za kila namna za baadhi ya madola ya kibeberu.
Habari ID: 3470269 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi hii na Afrika Kusini katika setka mbali mbali.
Habari ID: 3470268 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24
Rais Rouhani
Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa dunia ni kuwa na kadiri na wastani katika mambo.
Habari ID: 3470266 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/23
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, ili kukabiliana na vita laini vya kambi ya Uistikbari kuna haja ya kuwandaa na kuwalea vijana wanamapinduzi na wenye azma na irada imara.
Habari ID: 3470260 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/20
Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limefelisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran.
Habari ID: 3470256 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/19
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nguvu na uwezo wa Iran hauko dhidi ya maj iran i na nchi za ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470251 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/17
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 11 Kimataifa ya Qur’ani ya Jordan maalumu kwa wanawake, ameshika nafasi ya kwanza katika kuhifadhi Qur'ani kikamilifu katika kitengo cha wanawake.
Habari ID: 3470248 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/16
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470247 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/15
Duru ya kwanza ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu wa macho yatafanyika Tehran sambamba na mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya kila mwaka.
Habari ID: 3470246 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/13
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema misaada ya silaha na kifedha inayotoa Marekani kwa makundi ya kigidi ni moja ya vizuizi katika utatuzi wa tatizo la ugaidi.
Habari ID: 3470244 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/12
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema ili kupambana na hatari ya ugaidi na muamala wa kindumakuwili wa madola makubwa, kuna haja kwa nchi za Kiislamu kuongeza ushirikiano wao katika fremu ya siasa za kutimia akili na za kimantiki.
Habari ID: 3470242 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/11
Ayatullah Ali Khamenei
Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kutiliwa nguvu uwezo wa operesheni za kijeshi na misukumo ya kimaanawi na kidini ya vikosi vya ulinzi vya Iran.
Habari ID: 3470238 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/10
Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na baadhi ya nchi za Magharibi si za kuaminika.
Habari ID: 3470231 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/06
Wanawake wanaohudumu katika Shirika la Ndege la Air France wamefahamishwa kuwa ni sharti wavae Hijabu wakati ndege yao inaposimama nchini Iran.
Habari ID: 3470227 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/03
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mfumo wa kibeberu uliosimama juu ya msingi wa kutumia mabavu ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kijeshi.
Habari ID: 3470221 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/31