mahujaji

IQNA

IQNA – Wakiwa na mizigo mikononi mwao lakini nyoyo zao zikiwa bado zimejaa athari za ibada za Hija, mahujaji waliokuwa wakiondoka walikabidhiwa kila mmoja zawadi yanakala ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3482314   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/02

IQNA – Katika vituo vya kuondokea abiria vya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mfalme Abdulaziz uliopo Jeddah, kuna jitihada tulivu na yenye baraka zinazoendelea.
Habari ID: 3482305   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/31

IQNA – Juhudi mpya za kuimarisha uelimishaji na uhamasishaji zimetangazwa ili kuwasaidia mahujaji na wageni waelewe vyema adabu za kuingia, kuswali na kutoa salamu kwa Mtume Muhammad (S.A.W.) katika Msikiti wa Mtume maarufu kama Al Masjid An Nabawi uliopo Madina.
Habari ID: 3482253   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/18

IQNA – Wakazi wa Madina – raia na wasiokuwa raia – wanaotamani kupata thawabu ya kuwatumikia wageni wa Mwenyezi Mungu katika msimu wa Hajj mwaka huu sasa wamefunguliwa fursa mpya ya kujitolea.
Habari ID: 3482218   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/09

IQNA – Mahujaji wanaosafiri kati ya Makka na Madina katika msimu wa Hija mwaka huu wanatarajiwa kupata nafasi nyingi zaidi kupitia Reli ya Haramain yenye mwendo wa kasi.
Habari ID: 3482205   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/05

IQNA – Operesheni ya kuwarejesha Mahujaji wa Kiirani wa Hija nchini kwa njia ya anga ilianza tena Alhamisi.
Habari ID: 3480862   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/28

IQNA – Takriban Mahujaji milioni 1.7 wamekusanyika katika ardhi tukufu ya Saudi Arabia kumaliza ibada muhimu za Hija, ambazo zilihitimishwa kwa ibada ya kutupa mawe katika eneo la Mina na kuzunguka Kaaba kwa mara ya mwisho (Tawafu ya kuaga) katika Msikiti Mtukufu wa Makkah.
Habari ID: 3480804   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/08

Siku za Tashriq ni siku ya 11, 12 na 13 ya mwezi wa Hijri wa Dhul Hija ambapo ibada kuu za Hija kama dhabihu ya wanyama na Rami Al-Jamaratu hufanyika.
Habari ID: 3478974   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/18

TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewaalika watu kuhiji na kuwabariki mahujaji fursa ya kuitembelea nyumba yake.
Habari ID: 3477747   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

KARBALA (IQNA) - Zaidi ya wafanyaziyara milioni 22 walitembelea mji Mtukufu wa Karbala katika msimu wa mwaka huu wa Arubaini hadi sasa.
Habari ID: 3477570   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/09

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Operesheni ya kuosha na kusafisha Ka’aba Tukufu huko Makka imekamilika ili kuandaa mahali patakatifu kwa ajili ya Hija ijayo.
Habari ID: 3475335   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04

TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amepongeza uamuzi wa Saudi Arabia wa kupunguza kabisa idadi ya mahujaji na kuwazuia mahujaji wa kimataifa kuingia nchini humo.
Habari ID: 3472897   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/25

TEHRAN (IQNA)-Kila mwaka mamilioni ya Mahujaji kutoka kila kona ya dunia humiminika katika Mji Mtakatifu wa Makka kwa ajili ya Ibada ya Hija.
Habari ID: 3471138   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/23

Umoja wa Wanawake Waislamu Duniani wametoa taarifa ya rambirambi kufuatia kuuawa maelfu ya mahujaji kutoka nchi mbali mbali katika mkanyangano wa Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3385195   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/13

Baada ya kupita wiki mbili
Hatimaye baada ya kupita muda wa wiki mbili, Waziri wa Saudi Arabia anayehusika na Hija ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia kuaga dunia Mahujaji wa Iran katika maafa ya Mina.
Habari ID: 3383364   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Familia za makumi ya Mahujaji wa Morocco walioaga dunia katika maafa ya Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka wamesema wataishtaki serikali ya Saudi Arabia kutokana uzembe uliosababisha kuaga dunia na kutoweka jamaa zao.
Habari ID: 3382524   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/06

Waislamu nchini Tanzania wametaka iundwe kamati ya kimataifa kuchunguza maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtukufu wa Makka ambapo zaidi ya Mahujaji 5,000 walipoteza maisha.
Habari ID: 3377983   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03

Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, idadi ya Mahujaji walipoteza maisha katika maafa ya Mina imefikia 4,173.
Habari ID: 3374468   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, ukosefu wa busara na tadbiri katika utawala wa Saudia ndio chanzo cha mahujaji kupoteza maisha kidhulma.
Habari ID: 3374466   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ulimwengu wa Kiislamu una maswali mengi ya kuuliza kuhusu maafa yaliyotokea Mina nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3372415   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27