IQNA-Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo asubuhi vimetekeleza operesheni ya pamoja ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani nchini Jordan, Kuwait, Qatar, Oman na Bahrain, ikiwa ni hatua ya kujibu mashambulizi endelevu ya Marekani dhidi ya maeneo ya kusini mwa Iran.
Habari ID: 3482473 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/12
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeendesha oparesheni kubwa ya makombora na ndege zisizo na rubani (droni) dhidi ya vituo nane vya kijeshi vya Marekani katika kanda hii, likiitaja hatua hiyo kuwa “jibu madhubuti” dhidi ya uchokozi mpya wa Marekani kwenye ardhi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3482414 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/28
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) likishirikiana na Jeshi la Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh), limetangaza mfululizo wa operesheni za kijeshi za kulipiza kisasi zilizoratibiwa vyema dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3482349 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/11
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limeshambulia kambi mbili za anga za Marekani huko Kuwait na vituo vilivyobaki vya Kikosi cha Tano cha Jeshi la Wanamaji la Marekani (US Fifth Fleet) huko Bahrain ili kujibu uchokozi wa hivi karibuni wa Marekani.
Habari ID: 3482327 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/06
IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza operesheni kadhaa za kulipiza kisasi hadi sasa kujibu uchokozi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3482008 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/02
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
IQNA-Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewaita mabalozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) kuwasilisha malalamiko yake dhidi ya azimio la hivi karibuni la EU linalolenga Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3481889 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/04
IQNA-Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya Marekani, Israel na mamluki wao wenye mienendo ya kigaidi kama ile ya Daesh kwamba kosa lolote la kimahesabu litakabiliwa na majibu makali na ya kuangamiza.
Habari ID: 3481805 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/15
IQNA –Mazishi ya Shahidi Haytham Ali Tabatabai, kamanda mwandamizi wa Hizbullah, pamoja na wapiganaji wengine wa muqawama waliouawa, yamefanyika Jumatatu katika kitongoji cha Beirut.
Habari ID: 3481567 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/25
IQNA – Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametaja Qur’ani Tukufu kuwa silaha yenye nguvu dhidi ya maadui.
Habari ID: 3481333 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/05
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limewaonya maadui wa Iran hususan utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani kwamba, watakabiliwa na majibu makali na madhubuti ya Jamhuri ya Kiislamu iwapo watafanya makosa yoyote mapya au kufanya kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya nchi hii.
Habari ID: 3481262 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/21
Taarifa
IQNA-Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran (IRGC) limetoa taarifa na kutangaza kuwa kambi ya Muqawama, hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina, hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakaliwa ardhi za Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3480490 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04
IQNA – Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema Waislamu hawatashindwabikiwa watafuata mafundisho ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3480356 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/12
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
IQNA-Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ameelezea operesheni ya Jumanne usiku ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Israel kama kulipiza kisasi kwa jinai nyingi za utawala huo.
Habari ID: 3479526 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
TEHRAN- Ving'ora vinasikika katika kote Israel (ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu) baada ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuvurumisha idadi kubwa ya makombora ambayo yamelenga ngome muhimu za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3479519 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01
Muqawama
IQNA- Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa taarifa nambari tatu inayoeleza na kubainisha jinsi Ismail Haniya, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, alivyouawa hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3479225 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/03
Diplomasia
IQNA-Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Canada (Kanada) ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC ) kwenye orodha ya kile inachokiita "makundi ya kigaidi" ni zawadi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, magaidi na maadui wengine wa amani na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3478994 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/21
Ahadi ya Kweli
IQNA - Profesa wa chuo kikuu cha Yemeni amesema "Operesheni ya Ahadi ya Kweli" ya kijeshi ya Iran dhidi ya Israeli ilikuwa zaidi ya shambulio la kulipiza kisasi.
Habari ID: 3478695 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/17
Ahadi ya Kweli
IQNA - Mchambuzi wa Lebanon ameorodhesha nukta nane kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi wa Iran dhidi ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuja baada ya mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
Habari ID: 3478691 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Ahadi ya Kweli
IQNA - Msururu wa vikao vha kusoma Qur'ani Tukufu ambavyo vimepewa jina la "Ahadi ya Kweli" vinafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478689 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Ahadi ya Kweli
IQNA-Mufti Mkuu wa wa Oman amekaribisha na kupongeza mashambulizi ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478687 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16