Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema licha ya sera na azma ya Marekani na washirika wake ya kutaka kulisambaratisha suala la Palestina, na kuifanya dunia isahau uwepo kwa taifa hilo, lakini kadhia ya Wapalestina ipo hai na inazidi kuimarika na kupata nguvu kila siku.
Habari ID: 3475120 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/13
TEHRAN (IQNA)- Abdrabbuh Mansour Hadi, rais wa zamani wa Yemen aliyejiuzulu mwenyewe na kukimbilia Saudi Arabia ametangaza rasmi kukabidhi madaraka kwa baraza jipya la urais lililoundwa karibuni.
Habari ID: 3475096 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/07
TEHRAN(IQNA)-Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametoa ufafanuzi wa shambulio la ndege zisizo na rubani lililofanywa na jeshi la nchi hiyo ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia kujibu uchokozi na hujuma za kila leo wanazofanyiwa raia wa Yemen na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na utawala wa Riyadh.
Habari ID: 3475031 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/12
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Waislamu wanaokusudia kutekeleza ibada ya Hija ndogo au Umrah katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani inazidi kuongezeka.
Habari ID: 3475028 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/10
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
Habari ID: 3474896 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06
TEHRAN (IQNA)- Milipuko kadhaa mikubwa imesikika katika anga ya Umoja wa Falme za Kiarabu punde tu baada ya majeshi ya Yemen kutangaza oparesheni kubwa ya ulipizaji kisasi dhidi ya vituo muhimu vya kiuchumi vya nchi hiyo.
Habari ID: 3474871 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya wananchi katika miji mingi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika maandamano ya kuunga mkono taifa linalodhulumiwa la Yemen na kulaani jinai zinazotendwa na muungano vamizi unaoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo.
Habari ID: 3474861 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Saudi Arabia wametoa amri kuwa wafanyakazi katika misikiti waajiriwe kikamilifu na wasiwe wanafanya kazi maeneo mengine.
Habari ID: 3474853 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25
TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen amekosoa kimya cha jamii ya kimataifa kwa jinai zinazofanywa na muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen na akasema, kuendelea kwa jinai hizo hakutakuwa na matokeo mengine isipokuwa wavamizi hao kufikwa na mwisho mbaya.
Habari ID: 3474722 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25
TEHRAN (IQNA)- Misikiti kote Saudi Arabia imetakiwa kuchukua hatua kali za kuhakikisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada wanatekeleza kanuni za kukabiliana na COVID-19.
Habari ID: 3474717 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa hongera na pole kufuatia kuaga dunia kwa namna ya kufa shahidi Hasan Irlu, balozi mwanajihadi na mchapakazi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Yemen.
Habari ID: 3474710 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23
TEHRAN (IQNA)- Kufa shahidi Hasan Irlu, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Sana'a kumedhihirisha ukubwa wa jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Saud nchini humo.
Habari ID: 3474709 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Hija na Umrah Saudi Arabia imetangaza kuendelea marufuku ya kugusa Hajar Al Aswad (Jiwe Jeusi) na kuswali katika Hijr Ismail katika Msikiti Mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3474699 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20
TEHRAN (IQNA)- Ndege za kivita za muungano vamizi wa Saudia zimedondosha mabomu katika wilaya ya Maqbanah mkoani Taiz nchini Yemen na kuua raia wasiopungua 16.
Habari ID: 3474638 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04
TEHRAN (IQNA)- Idhini ya kutekeleza Hija ndogo ya Umrah kwa wale wanaotoka nje ya Saudia itajumuisha tu wale wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 50.
Habari ID: 3474578 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA) = Huduma mpya imezinduliwa kwa ajili ya Waislamu walionje ya Saudi Arabia ambao wanataka kutekeleza Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3474555 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Katika kulalamikia matamshi yaliyotolewa siku ya Ijumaa na George Kurdahi , Waziri wa Habari wa Lebanon aliyekosoa uvamizi wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen na kuutaja kuwa usio na maana, Saudia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut na kumtaka balozi wa Lebanon pia aondoke nchini humo mara moja.
Habari ID: 3474498 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
TEHRAN (IQNA)-Saudi Arabia imemwita nyumbani balozi wake wa Lebanon na kumtaka balozi wa nchi hiyo pia aondoke mjini Riyadh, likiwa ni jibu kwa matamshi ya ukosoaji aliyotoa waziri wa habari wa Lebanon kuhusiana na uchokozi na uvamizi wa kijeshi uliofanywa na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3474493 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Kwa mara ya kwanza, ndege ya moja kwa moja kutoka Ufalme wa Saudi Arabia inatazamiwa kutua leo Jumatatu usiku katika katika utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3474469 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/25