iqna

IQNA

IQNA – Shirika la Hija la Iran limetangaza kuanza upya kwa safari za kurudi nyumbani kwa Mahujaji wa Iran kwa njia ya anga na nchi kavu baada ya kufutwa safari za ndege katika anga ya Iran kufuatia hujuma ya utawala haramu wa Israel
Habari ID: 3480837    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/15

IQNA – Saudi Arabia imetangaza msururu wa vikwazo na vizuizi vya kuingia  mji mtakatifu wa Makka kabla ya msimu wa Hija
Habari ID: 3480533    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA – Mfalme Salman wa Saudi Arabia ameidhinisha usambazaji wa nakala 1.2 milioni za Qur'ani Tukufu, pamoja na tafsiri au tarjuma katika lugha 79, kwa vituo vya Kiislamu na kitamaduni, pamoja na ofisi za kidini katika ubalozi wa Saudi kote ulimwenguni.
Habari ID: 3480278    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/28

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Sehemu ya mwisho  ya Toleo la 44 la Mashindano ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi , Kusoma na Kutafsiri Qur'ani Tukufu huko Makka imekamilika huko Makka.
Habari ID: 3479290    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/17

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi  wawili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamefika Saudi Arabia kushiriki katika toleo la 44 la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3479252    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/09

Hija
IQNA - Mpango umezinduliwa nchini Saudi Arabia ili kuimarisha na kuboresha ujuzi wa wafanyakazi wanaohudumia waumini wanaoshiriki ibada za Hija  na Umrah.
Habari ID: 3478815    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13

Hija na Umrah
IQNA – Serikali ya Saudi Arabia imefafanua masharti ya viza ya Umra, ikibainisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada ya Hija ndogo ya Umra wanapaswa kuondoka nchini humo huo kufikia Juni 6.
Habari ID: 3478705    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/20

Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Mahakama kuu ya Saudi Arabia imetoa wito kwa watu wa nchi hiyo kujaribu kufanya Istihlal (kuutafuta mwezi mwandamo) Jumapili jioni.
Habari ID: 3478480    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10

Turathi
IQNA - Mradi wa ensaiklopidia unatekelezwa ili kuweka kumbukumbu za historia ya Hija na Misikiti Miwili Mitukufu (Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume huko Madina) kutoka enzi ya kabla ya Uislamu hadi leo.
Habari ID: 3478292    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Hija na Umrah
IQNA - Msikiti Mkuu wa Makkah yaani Masjid al-Haram na Msikiti wa Mtume SAW, yaani Al Masjid An Nabawi huko Madina sasa ina idhini ya kuwa mwenyeji wa kufungisha ndoa au Nikah, kulingana na ripoti.
Habari ID: 3478266    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

Uislamu unaenea kwa kaasi
IQNA - Kulingana na serikali ya Saudi Arabia, zaidi ya watu 347,000 wamesilimu nchini humo katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Habari ID: 3478226    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21

Umrah
IQNA - Idadi ya Waislamu walioshiriki katika Hija ndogo ya Umrah mwaka 2023 ilifikia zaidi ya milioni 13.5, rekodi ya juu kwa wageni wa kimataifa walioshiriki ibada ya Umrah, waziri wa Hija na Umrah wa Saudia alisema Jumanne.
Habari ID: 3478173    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/09

Uislamu na Teknolojia
IQNA-Jumuiya ya Kuhudumia Qur’ani Tukufu na Sunnah ya Al-Burhan imezindua apu mpya iliyopewa jina la Salim inayowasaidia watoto walio na umri wa chini ya miaka 8 kujifunza Quran bila ya kuhitaji mwalimu.
Habari ID: 3478054    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/18

Wanamichezo Waislamu
RIYADH (IQNA) - Karim Mostafa Benzema, mwanasoka wa kulipwa wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika Klabu ya Al-Ittihad ya Ligi Kuu ya Saudia , alipokea zawadi ya nakala ya Qur'ani Tukufu kutoka kwa ripota wa Saudi.
Habari ID: 3477455    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/18

Umrah 1445
MAKKA (IQNA) – Wizara ya Hijja na Umrah ya Saudia imeeleza machaguo mbalimbali wka Waislamu wanaotaka kusafiri hadi mji mtakatifu wa Makka kufanya ibada ya Hija ndogo ya Umrah. Wizara iliorodhesha machaguo kama kama vile visa ya kukaa kwa muda mfupi (transit), visa ya kutembelea familia, visa ya safari ya kibinafsi na visa wakati wa kuwasili.
Habari ID: 3477313    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/20

Siasa
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen imekosoa taarifa ya kikao cha Jumuiya ya Nchi za Kiarabu iliyotolewa jana Jumamosi na kusisitiza kuwa, hakuna matumaini ya kuifanyia mageuzi na marekebisho jumuiya hiyo.
Habari ID: 3477025    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/21

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Sao Paulo, jiji lenye watu wengi zaidi nchini Brazili, ni mwenyeji wa maonyesho ya Qur’ani Tukufu yatakayoandelea kwa wiki moja.
Habari ID: 3476937    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/30

TEHRAN (IQNA)- Ismail Hania na Khalid Mash'al, Mkuu wa sasa na wa zamani wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS Jumapili ya tarehe 16 Aprili waliwasili Riyadh mji mkuu wa Saudi Arabia wakiuongoza ujumbe wa ngazi za juu wa HAMAS.
Habari ID: 3476889    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/19

Ibada ya Umrah
TEHRAN (IQNA) – Usajili wa alama za vidole utakuwa wa lazima ili kutoa visa kwa wanaotaka kuingia Saudi Arabia kushiriki Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3476195    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/04

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Kyrgyzstan, Sadyr Japarov, amekutana na mwakilishi wa nchi hiyo aliyeibuka mshindi wa mashindano ya hivi karibuni ya kimataifa ya Qur'ani nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3476184    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02