israel - Ukurasa 8

IQNA

Jinai za Israel
IQNA - Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway amelaani "vita vya kikatili" vya utawala wa Israel huko Gaza na ukiukaji wake wa kanuni za vita.
Habari ID: 3479584    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13

Muqawama
IQNA - Maandamano yamefanyika katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad siku ya Ijumaa kulaani jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479580    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12

Kususia Israel
IQNA - Mtaalamu wa masuala ya kiuchumi amesema kuususia kiuchumi  utawala wa Kizayuni wa Israel kunaweza kuwa mkakati "mwenye ufanisi zaidi" wa kukabiliana na utawala huo kwa muda mrefu.  
Habari ID: 3479572    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/11

Watetezi wa Palestina
IQNA - Wataalamu na wasomii walioshiriki katika mkutano wa kimataifa wa haki za binadamu mjini Tehran wameikosoa nchi za Magharibi kwa undumilakuwili na unafiki kuhusu suala la Palestina.
Habari ID: 3479571    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/10

Muqawama
IQNA - Balozi wa Yemen nchini Iran amesema taifa la Yemen litaendelea kuwa na msimamo thabiti katika kuunga mkono harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu huko Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479560    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Muqawama
IQNA - Mchambuzi mashuhuri wa Lebanon anasema jinsi Iran inavyojibu kwa shambulio linalowezekana la Israel itaunda mustakabali wa eneo hilo.
Habari ID: 3479559    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Msaada
IQNA - Idadi kubwa ya wataalam wa matibabu wa Iran wametoa wametangaza utayari wao wa kwenda Lebanon kuwahudumia watu wa nchi hiyo ya Kiarabu huku utawala wa Kizayuni, ukiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479552    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Operesheni ya Ahadi ya Kweli II
TEHRAN- Ving'ora vinasikika katika kote Israel (ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu) baada ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuvurumisha idadi kubwa ya makombora ambayo yamelenga ngome muhimu za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel
Habari ID: 3479519    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/01

IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani ukatili wa Israel huko Lebanon na Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479499    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/27

Watetezi wa Haki
IQNA -Maandamano yamefanyika nchini Kanada kulaani vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479481    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

Watetezi wa Haki
IQNA- Kiongozi wa juu wa kidini yaani Marjaa-Taqlidi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani ameelezea mshikamano wake na Lebanon wakati nchi hiyo ya Kiarabu na Kiislamu inaendelea kuandamwa na mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na ametaka zifanyike juhudi za dharura kusitisha uchokozi huo wa kikatili wa utawala huo na kuwalinda raia wa Lebanon.
Habari ID: 3479480    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/24

Muqawama
IQNA- Askari kadhaa wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel wameangamizwa huku wengine wengi wakijeruhiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 3479455    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/19

Jinai za Israel
IQNA - Afisa mwandamizi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kusimama kidete harakati hiyo ya muqawama katika kuilinda nchi hiyo dhidi ya vitendo vya hivi karibuni vya kichokozi vya utawala wa Kizayuni.
Habari ID: 3479454    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/19

Jinai za Israel
IQNA- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeapa kuendeleza mashambulizi yake dhidi ya utawala haramu wa Israel kwa ajili ya kuwatetea watu wa Ukanda wa Gaza, ambao wanaendelea kuuawa kikaktili katika mauaji ya kimbari ya Israel, ikisisitiza kwamba ukatili wa hivi karibuni wa utawala huo ulioua watu kadhaa nchini Lebanon utaimarisha azma yake ya kuendeleza njia ya mapambano na muqawama.
Habari ID: 3479452    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/18

Jinai za Israel
IQNA - Makundi ya kisiasa ya Yemen yamelaani vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon ambavyo vilisababisha wengi kuuawa shahidi au kujeruhiwa.
Habari ID: 3479451    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/18

Waungaji mkono Palestina
IQNA - Harakati mashuhuri ya Yemen ya Ansarullah imesambaza video na picha za sherehe za Maulid ya Mtume Mtukufu (SAW) zilizofanyika kwenye sitaha ya meli ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3479439    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Quds Tukufu hatarini
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Jordan imetahadharisha kuhusu kushadidi hatua za utawala wa Kizayuni zenye lengo la kueneza Uyahudi katika maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479392    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07

Jinai za Israel
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani vikali kushadidi jinai za utawala wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3479363    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/01

Watetezi wa Palestina
IQNA - Takriban watu milioni moja walikusanyika katika mji mkuu wa Yemen wa Sana'a siku ya Ijumaa ili kuelezea mshikamano wao na Wapalestina huko Gaza na pia kulaani jinai ya wanajeshi wa Israel ya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479356    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Muqawama
IQNA - Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Ansarullah ya Yemen amelaani kuendelea kwa jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Ghaza na ukimya na kutochukua hatua kwa baadhi ya nchi za Kiarabu.
Habari ID: 3479284    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/16