israel - Ukurasa 7

IQNA

IQNA - Jeshi katili la Israel dhid limeua takriban Wapalestina 56,077 katika mauaji ya kimbari huko Gaza tangu Oktoba 7, 2023.
Habari ID: 3480856   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/25

IQNA - Mshikamano wa Waislamu katika ulimwengu wa Kiislamu umefikia kiwango kisicho na kifani kufuatia Operesheni ya Ahadi ya Kweli III dhidi ya utawala wa Israel, mwanazuoni mmoja anasema.
Habari ID: 3480855   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/25

IQNA - Waziri wa Afya wa Iran Daktari Mohammad Reza Zafarghandi amesema idadi ya waliouawa katika hujuma ya utawala wa Israel dhidi ya Iran ni 606.
Habari ID: 3480854   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/25

IQNA-Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran limetoa taarifa Jumanne na kuthibitisha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel umelazimika kukubali mapatano ya usitishaji vita.
Habari ID: 3480853   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/24

IQNA-Mohammad Eslami Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa, hatuna imani tena na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na ukaguzi wake, kwa sababu zana zote hizo zimetumika katika kufanya ujasusi kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3480852   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/22

IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imetoa taarifa ikilaani hujuma na uvamizi wa kijeshi wa Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya taifa hili vinavyofanya shughuli zake kwa malengo ya amani.
Habari ID: 3480851   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/22

IQNA-Waziri wa zamani wa Utamaduni wa Iran ameeleza jinsi Mahujaji wa kigeni na watu wa Saudia wanavopongeza jibu halali la Iran kufuatia uhokozi na uvamizi wa utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3480850   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/21

IQNA-Maandamano yamefanyika katika nchi kadhaa za eneo siku ya Ijumaa kutangaza kufungamana na Iran wakati huu wa kukabiliana na hujuma ya kichokozi na kijinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3480849   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/21

IQNA-Imam wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amelanaani ikali mashambulizi yanayoendelea ya utawala haramu wa Israeldhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3480848   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/21

IQNA-Mufti wa Libya, Sheikh Sadiq al Ghariani amesema kuwa vita vinavyooendelea kati ya Iran na Israel ni vita baina ya Uislamu na ukafiri.
Habari ID: 3480847   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/20

IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem amesisitiza uungaji mkono usioyumba wa harakati hiyo kwa Iran huku akilaani hujuma ya kichokozi na iliyo haramu inayotekelezwa na Marekani na utawala wa Israel dhidi ya Iran.
Habari ID: 3480846   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/20

IQNA- Baraza la Maulamaa wa Kiislamu Palestina limetoa taarifa na kutangaza kufungamana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3480845   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/19

IQNA- Qari mashuhuri wa Misri, Sheikh Abdul Fattah  Taruti, ametangaza kufungamana na watu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kukabiliana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3480844   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/19

IQNA- Rais wa zamani wa Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa Waislamu, Sheikh Ahmed al Raissouni, ametoa wito kwa Waislamu duniani kote kuunga mkono Iran katika kukabiliana na hujuma ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, huku akisisitiza kuwa hakuna taifa ambalo limewaunga mkono ukombozi wa Palestina kama ilivyofanya Iran.
Habari ID: 3480843   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/19

IQNA-Kiongozi mkuu wa Waislamu wa madhehebu ya Mashia wa Iraq Ayatullah Sistani amelaani vikali hujuma inayoendelea ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na vitisho vyovyote dhidi ya maisha ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei.
Habari ID: 3480842   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/19

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema taifa la Iran litasimama kidete  katika kukabiliana na vita vya kulazimishwa, kama ambavyo halitakubali amani ya kutwishwa  na hivyo taifa hali halitasalimu amri.
Habari ID: 3480841   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/18

(IQNA) – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Bwana Abbas Araghchi, amefafanua kuwa mashambulizi ya hivi karibuni ya makombora ya Iran yalikuwa ni kitendo halali cha kujilinda, yaliyotekelezwa kujibu uchokozi wa wazi wa Israel dhidi ya maeneo ya kijeshi na ya kiraia.
Habari ID: 3480839   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/15

IQNA – Naibu Waziri wa Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu Iran ambaye anasimamia masuala ya Qur'ani na Itrah amelaani vitendo vya hivi karibuni vya uchokozi vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na kusisitiza azma ya jumuiya ya Qur'ani nchini kufungamana na utamaduni wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kuupinga utawala wa Kizayuni sambamba na kutetea maadili ya Kiislamu.
Habari ID: 3480838   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/15

IQNA-Mashambulizi ya makombora ya Iran ya jana usiku ya kulipiza kisasi jinai za Israel ni makubwa kiasi kwamba hadi hivi sasa taasisi za utawala wa Kizayuni zimeemewa na hazijui zianzie wapi.
Habari ID: 3480836   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/15

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema kuwa Vikosi vya Ulinzi vya Iran vitachukua hatua kali na kuufanya utawala wa Kizayuni wa Israel ufedheheke.
Habari ID: 3480833   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/14