TEHRAN (IQNA) – Waziri wa zamani wa utamaduni nchini Senegal amerejesha nishani ya juu zaidi ya Ufaransa ya Légion d'honneur aliyokuwa ametunukiwa.
Habari ID: 3473363 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/15
Ufaransa yaonaya raia wake baada ya hujuma dhidi ya makaburi Jeddah, Saudia
Habari ID: 3473352 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/12
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amedai kuwa Paris inaheshimu dini ya Uislamu na kwamba Waislamu ni sehemu ya jamii ya Ufaransa.
Habari ID: 3473343 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/09
TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika nchi mbali mbali duniani wanaendelea kuandamana kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na hatua ya Rais Emmanuel Macron kuunga mkono kitendo hicho.
Habari ID: 3473339 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/08
TEHRAN (IQNA)- Wasomi, wanafikra, wanaharakati na wanazuoni wa Kiislamu duniani wametoa wito wa kutungwa sheria zinazozuia kuvunjiwa heshima Mitume wa Mwenyezi Mungu, dini za mbinguni na wafuasi wake.
Habari ID: 3473331 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/05
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amekosoa matamshi ya chuki na hujuma ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kutoa wito wa kutungwa sheria inayotambua chuki na uhasama dhidi ya Waislamu kuwa ni uhalifu.
Habari ID: 3473327 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/04
TEHRAN (IQNA) - Wimbi kali la maandamano ya kulaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea matusi na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW Nchini humo limeendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3473325 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/03
Mwanazuoni wa Lebanon
TEHRAN (IQNA) – Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Lebanon amesema umoja wa Waisalu ni sera bora zaidi katika kukabiliana na maadui wanaouhujumu Uislamu na kuvunjia heshima matukufu yake.
Habari ID: 3473320 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02
TEHRAN (IQNA) - Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameonekana kuanza kusalimu amri mbele ya mashinikizo ya Waislamu na sasa amelegeza msimamo wake mkali wa awali wa matamshi yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473319 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02
TEHRAN (IQNA)- Rais Joko Widodo wa Indonesia amelaani kauli ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kusema mtawala huyo amewatusi Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3473316 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/01
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelaani hujuma ya hivi karibuni ya kigaidi Ufaransa na wakati huo huo pia amelaani matamshi ya chuki dhidi ya Uislamu ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo.
Habari ID: 3473313 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/31
Kiongozi wa Ansarullah
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema rais Emmanuel Macron wa Ufaranmsa ni kikaragosi kinachochezeshwa na Wazayuni kichukue hatua za kuutusi na kuuvunjia heshima Uislamu.
Habari ID: 3473309 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/30
Rais Hassan Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kama nchi za Magharibi, za Ulaya na Ufaransa ni wakweli katika madai yao kwamba zinapigania amani, udugu, usalama na utulivu katika jamii ya mwanadamu basi zinapaswa kuacha kuingilia masuala ya ndani ya Waislamu.
Habari ID: 3473307 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/29
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akiwahutubu vijana Wafaransa
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza kushangazwa kwake na undumakuwili wa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kulikingia kifua jarida la Charlie Hebdo la nchini hiyo ya Ulaya kwa kuchapisha tena vibonzo vya kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW, kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza.
Habari ID: 3473306 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/29
TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja katika wilaya ya Vernon kaskazini mwa Ufaransa umepokea vitisho vya kushambuliwa huku chuki dhidi ya Uislamu ikishadidi nchini humo.
Habari ID: 3473304 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/28
TEHRAN (IQNA) -Malalamiko na ukosoaji dhidi ya matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea vitendo vya kutusiwa na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW nchini humo unaendelea kupamba moto huku nchi mbalimbali za Kiislamu zikitoa wito wa kuiadhibu Paris kwa kususia bidhaa za Ufaransa.
Habari ID: 3473297 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/26
TEHRAN (IQNA) - Makundi ya kupigania ukombozi Palestina yamemlaani Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kutokana na hatua yake ya kuunga mkono michoro ya kikatuni yenye kumvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3473295 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Wahadhiri katika Chuo cha Kiislamu cha Qum, nchini Iran imelaani vikali pendekezo la serikali ya Ufaransa la kuweka vizingiti katika harakati za Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3473250 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/11
TERHAN (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kiislamu cha al-Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kuhusu Uislamu na kusisitiza kuwa, matamshi ya rais huyo ni ya kibaguzi.
Habari ID: 3473229 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/04
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Ufaransa wameudhika kwa kauli za chuki dhidi ya Uislamu zilizotolewa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron.
Habari ID: 3473226 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03