IQNA

Mwezi wa Ramadhani

Aya za Kila Siku: Mawaidha kwa wachamngu

14:01 - March 30, 2023
Habari ID: 3476784
TEHRAN (IQNA)- Qur'ani Tukufu imeteremshwa kuwa ukumbusho na mwongozo kwa watu, kwa mujibu wa aya ya 138 ya Surah Al-Imran.

 Hii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na mawaidha kwa wachamngu.

captcha