Wasoomaji Qur'ani
IQNA - Wabunge kadhaa nchini Misri wametoa wito wa kuundwa kwa kamati mpya ya kusimamia usomaji wa Qur'ani au qiraa na ma qari au wasomaji Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3479380 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04
Qiraa
IQNA - Hamid Reza Ahmadivafa ndiye qari aliyechaguliwa kusoma Qur'ani Tukufu kufungua hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Iran Daktari Masoud Pezeshkian 30 Julai 2024.
Habari ID: 3479214 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/02
IQNA - Qari mashuhuri wa Misri Ahmed Ahmed Nuaina alielezea kipaji chake cha Qur'ani Tukufu kuwa ni baraka kubwa zaidi katika maisha yake.
Habari ID: 3479124 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/14
Misri
Wizara ya Awqaf ya Misri ilisema kuna mipango ya ongezeko kubwa la shughuli za Qur'ani na programu za misikiti katika mwaka ujao wa kalenda ya mwandamo wa Kiislamu.
Habari ID: 3479066 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/04
IQNA - Qari wa Iran Mohammad Bahrami, msomaji mahiri na mfanyakazi wa haki wa mkoa wa Lorestan, alisoma aya ya 74 hadi 78 za Surah Mubaraka wakati wa kikao cha maafisa wa mahakama na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi jana asubuhi tarehe 22 mwezi Juni 2024.
Habari ID: 3479004 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Qari mashuhuri
IQNA - Wiki hii iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Sheikh Muhammad Rif'at, mmoja wa ma qari wakubwa wa Qur’ani Tukufu katika zama zote nchini Misri.
Habari ID: 3478807 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/12
Qari Mashuhuri wa Qur'ani Tukufu
IQNA – Qari mashuhuri wa Iran Karim Mansouri amepongeza amani ambayo Qur'ani Tukufu inaleta katika maisha ya wale wanaoongozwa nayo.
Habari ID: 3478794 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/09
Harakati za Qur'ani
IQNA - Mohamed Mahmoud Tiblawi alikuwa qari mashuhuri nchini Misri ambaye aliwahi kuwa rais wa Jumuiya ya Wasomaji na Wahifadhi wa Qur'ani nchini humo kwa miaka kadhaa.
Habari ID: 3478782 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/06
Qari wa Qur'ani
IQNA: Sheikh Ahmed Suleiman al-Saadani alikuwa qari mashuhuri wa Misri na miongoni mwa watu wa kwanza kabisa kurekodi kisomo chake.
Habari ID: 3478765 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/03
Qiraa ya Qur'ani
IQNA – Sheikh Mutawalli Abdul Aal Alikuwa qari mkubwa wa Misri ambaye alihifadhi shauku yake ya kusoma hadi siku za mwisho za uhai wake.
Habari ID: 3478746 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/28
Qiraa
IQNA - Mohammad Javad Panahi, qari maarufu wa Irani, hivi karibuni alisoma aya za Surah Al-Haj ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478711 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/21
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Seyed Mohammad Hosseinipour hivi karibuni alisoma aya za Surah At-Taghabun katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478690 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/16
Qur'ani Tukufu
IQNA - Sheikh Nadi Fawzi ni qari maarufu wa Misri na imamu wa Msikiti wa Al-Noor huko Cairo.
Habari ID: 3478556 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/22
Nidhamu
IQNA - Qari maarufu nchini Misri amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kwa tabia yake isiyo ya kawaida alipokuwa akisoma Qur’ani Tukufu hivi karibuni.
Habari ID: 3478471 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08
Qarii
IQNA – Sheikh Shaban Abdul Aziz Sayyad, qari mashuhuri wa Misri ambaye alijulikana kwa ufasaha, uwezo na umahiri wake wa kusoma Qur’ani Tukufu, alifariki Januari 29, 1998, akiwa na umri wa miaka 58.
Habari ID: 3478284 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/01
Ta'azia
IQNA - Qari Barakatullah Saleem, msomaji na mwanazuoni mashuhuri wa Qur'ani Tukufu wa Afghanistan, alifariki siku ya Jumamosi mjini Kabul baada ya kuugua, familia yake ilithibitisha.
Habari ID: 3478263 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28
Qari Mashuhuri
IQNA - Wale wanaopenda usomaji wa Qur’ani Tukufu wa marehemu qari wa Misri Muhammad Sidiq Minshawi wanamtaja kama mfalme wa Maqam ya Nahawand.
Habari ID: 3478229 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21
IQNA- IQNA – Qari Kijana wa Algeria Abdul Aziz Sahim ameshiriki usomaji wake wa hivi majuzi wa aya kutoka kwenye Surah Al-Baqarah.
Habari ID: 3478221 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/20
Qari Maarufu wa Misri
IQNA - Sheikh Mahmoud al-Bujairami alikuwa qari mashuhuri wa Misri ambaye alisafiri katika nchi nyingi za Kiislamu kwa ajili ya kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478207 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/17
Usomaji Qur'ani
IQNA - Redio ya Qur'ani ya Misri imempiga qari i mmoja mkuu kutokana na kufanya makosa katika kusoma Qur'ani Tukufu hivi karibuni.
Habari ID: 3478162 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07