TEHRAN (IQNA)- Mchezaji soka Msenegali ameashiria aya ya Qur'ani Tukufu kumtetea Kalidou Koulibaly Msenegali mwenzake ambaye ni difenda wa Timu ya Soka ya Napoli katika Ligia ya Italia ambaye amekumbana na matusi ya kibaguzi kutoka kwa mashabiki.
Habari ID: 3471790 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/29
TEHRAN (IQNA) Leo Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Nabii Isa Masiih- Amani Iwe Juu Yake (AS) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
Habari ID: 3471786 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/25
TEHRAN (IQNA)-Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kutenga bajeti ya Euro Milioni 10 kwa ajili ya utafiti wa kina kuhusu namna Qur'ani Tukufu imeathiri utamaduni wa Ulaya.
Habari ID: 3471780 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/21
TEHRAN (IQNA)-Moja ya nakala ndogo zaidi za Qur’ani duniani imewekwa katika maonyesho katika mji wa Kusadasi, wilayani Aydin nchini Uturuki.
Habari ID: 3471712 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/19
Katika kipindi cha mwaka moja
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Uchapishaji Qur'ani cha 'Malik Fahad' nchini Saudi Arabia kimetangza kuwa kimesambaza nakala milioni 18 za Qur'ani Tukufu mwaka uliopita wa Hijria Qamaria.
Habari ID: 3471669 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/13
TEHRAN (IQNA) – Wagombea ubunge katika mji la Lhokseumawe katika jimbo la Acheh nchini Indonesia wameshiriki katika mtihani wa kusoma Qur'ani Tukufu kama sharti la kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2019.
Habari ID: 3471597 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/17
TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur’ani mwenye ulemavu wa macho amesema kuhifadhi Qur’ani Tukufu huwasaidia wenye ulemavu wa macho kuishi maisha mazuri.
Habari ID: 3471582 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/04
Katika kutetea timu ya taifa iliyosoma Al Fatiha kabla ya mechi
TEHRAN (IQNA)- Dhakir Lahidhab ni daktari mpasuaji ambaye Mtunisia ambaye katika kuwajibu wale waliokosoa hatua ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo kusoma aya za Qur'ani kabla ya mechi na Uingereza katika Kombe la Dunia amesema binafsi husoma Qur'ani kabla ya kila oparesheni ya upasuaji.
Habari ID: 3471569 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/23
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 25 ya Mashidano ya Qur’ani ya Watoto wa kike na kiume yameanza nchini Qatar Mei 18.
Habari ID: 3471522 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/20
TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitumu wanafunzi 200 waliohifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu yamefanyika katika Kituo cha Kufunza Kiarabu na Sayansi za Kiislamu nchini Mauritania.
Habari ID: 3471517 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/17
Sheikh Mkuu wa Al Azhar
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Mkuu wa Al Azhar Ahmed el-Tayeb amesema kuna haja ya Waislamu kujifunza lugha ya Kiarabu ili waweze kuifahamu Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW kwa kina zaidi.
Habari ID: 3471493 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/04
TEHRAN (IQNA)- Washiriki 24 katika kategoria za kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu wameshindano katika siku ya kwanza ya Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471474 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/21
TEHRAN (IQNA)-Mtoto mwenye ulemavu wa machi Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa lugha asi ya Kiarabuna pia kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa.
Habari ID: 3471450 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/01
TEHRAN (IQNA)- Mhadhiri wa Uislamu kutoka India amesema Qur'ani Tukufu ni muongozo kamili kwa wanadamu wa zama zote.
Habari ID: 3471447 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/29
TEHRAN (IQNA)- Watoto watu wa familia moja wamehifadhi Qur’ani kikamilifu nchini Misri pamoja na kuwa wamezaliwa wakiwa na ulemavu wa macho.
Habari ID: 3471424 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/10
TEHRAN- (IQNA) Serikali ya Senegal imetangaza mpango wa kuanzisha vituo vipya 21 vya Qur'ani tukufu katika mji wa Kaffrine, kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471385 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/09
TEHRAN (IQNA)-Nakala nne nadra za Qur'ani Tukufu ni kati ya turathi zenye thamani katika maktaba ya Msikiti wa Sayyida Zainab mjini Cairo, Misri.
Habari ID: 3471372 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/26
TEHRAN (IQNA)-Sheikh Khalid al Jundi, mwanachama wa Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Misri amesikitishwa na uhaba wa wasomaji Qur'ani wanawake nchini humo.
Habari ID: 3471371 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/25
TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Kimataifa ya Vijana Waislamu imezawadia watu wa Djibouti nakala 15,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471346 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/08
TEHRAN (IQNA)-Duru ya 19 ya "Wiki ya Kitaifa ya Qur'ani" ya Algeria imeanza kuadhimishwa Disemba 19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3471319 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/21