iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Katika kuendeleza ukatili dhidi ya Waislamu, wanajeshi wa Myanmar wamemkamata mtoto aliyekuwa amehifadhi Qur'ani na kisha kumuua katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3471317    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/20

TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatuma ujumbe wa wasomaji Qur’ani katika nchi saba duniani kwa munasaba wa Wiki ya Umoja wa Kiislamu na Maulidi ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471290    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/01

TEHRAN (IQNA)-Mashindano kadhaa ya Qur’ani na Hadithi yanafanyika kote Algeria kwa munasaba wa Maulidi ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Muhammad al Mustafa SAW.
Habari ID: 3471275    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

TEHRAN (IQNA)-Idhaa ya Qur'ani nchini Tunisia imesitisha matangazo yake baada ya serikali ya nchi hiyo kuipiga marufuku kutokana na kueneza itikadi za ukufurishaji.
Habari ID: 3471247    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/04

TEHRAN (IQNA)-Kikao cha Qur'ani Tukufu na vijana Waislamu duniani kinafanyika katika mji wa Shiraz kusini mwa Iran.
Habari ID: 3471239    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31

TEHRAN (IQNA)-Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon inaandaa awamu ya 20 ya mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471236    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/28

TEHRAN (IQNA)-Uturuki imeanza kusambaza nakala 21,500 za Qur'ani katika nchi 15 barani Afrika.
Habari ID: 3471233    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/28

TEHRAN (IQNA)-Klipu ya video imeenea katika mitandao ya kijamii ikumuonyesha mchezaji wa zamani wa Timu ya Soka ya Arsenal ya Uingereza, Vassiriki Abou Diaby akisoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471231    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/26

TEHRAN (IQNA)-Kijana mwenye umri wa miaka 11 nchini Bangladesh amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa siku 86.
Habari ID: 3471221    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/18

TEHRAN (IQNA)-Msichana mwenye umri wa miaka 10 ataiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Shaikha Fatima Bint Mubarak ya Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE.
Habari ID: 3471198    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/29

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Jimbo la Sokoto nchini Nigeria imezijumuisha madrassah 4,000 za Qur'ani katika mfumo rasmi wa elimu.
Habari ID: 3471168    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/12

TEHRAN (IQNA)-Mwanasiasa wa cha chama cha Democrats nchini Sweden amewakasirisha wengi kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471165    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/10

TEHRAN (IQNA)-Watoto wa jamii wa Waislamu Warohingya walitoroka ukatili Myanmar na kupata hifadhi Bangladesh wamepata fursa ya kujifunza Qur’ani Tukufu katika kambi za wakimbizi.
Habari ID: 3471160    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/05

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Qur’ani kinatazamiwa kuanzishwa nchini Malaysia katika jimbo la Baling baada ya mbunge wa eneo hilo kuahidi kutenga ardhi ya hekari 12.8 kwa ajili ya mradi huo.
Habari ID: 3471134    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21

TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Syarif Hidayatullah mjini Jakarta, Indonesia kimepanga kuandaa kongamano la kimataifa la Qur’ani na Hadithi baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3471127    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/17

TEHRAN (IQNA)-Mkurugenzi wa Jumba la Makumbusho la Qur’ani Tukufu katika mji wa Madina nchini Saudi Arabia limetembelewa na wageni milioni mbili katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3471118    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/11

TEHRAN (IQNA)-Kozi ya kiwango cha juu ya walimu wa Qur'ani nchini Senegal imefanyika katika mji wa Touba kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471114    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/09

TEHRAN (IQNA)-Mkurungenzi mmoja wa sanaa nchini Malaysia ameandaa Saa ya Qur’ani (#QuranHour) kwa lengo la kuwakumbusha walimwengu wote kuhusu mvuto wa mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471109    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/07

TEHRAN (IQNA)-Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita nchini Nigeria amewashangaza wengi kwa kufanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa kipindi cha chiniya mwaka moja.
Habari ID: 3471107    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa duru ya pili ya kozi ya kusoma Qur’ani Tukufu kwa msingi wa Tajwid.
Habari ID: 3471097    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/01